Kwani mi nimesemaje mkuu, umeonana nikiidharau prison au nimeipaisha kucheza na Simba kuliko kikosi cha pili cha Mazembe?Sasa unajua Simba ana miaka mingapi hajaifunga iyo prison? Ushindi wa Simba kwa prison ni sare.
Hii habari nimetafuta kwenye kurasa zao sijaona post inayolingana na hii.[emoji3514] invité par Simba pour un match international de haut niveau le 19/09 ... Notons que le même 19/09 nous aurons match de VL1 . Nous avons un effectif de beaucoup des joueurs il y a toujour possibilité d envoyé même une deuxième équipe en Tanzanie pour le match amical international contre Simba [emoji847]View attachment 1927606
Mazembe limebaki jina tu[emoji3514] invité par Simba pour un match international de haut niveau le 19/09 ... Notons que le même 19/09 nous aurons match de VL1 . Nous avons un effectif de beaucoup des joueurs il y a toujour possibilité d envoyé même une deuxième équipe en Tanzanie pour le match amical international contre Simba [emoji847]View attachment 1927606
Alisikika kolo mmoja akijipoozaMazembe walishawai kuifunga Simba ni timu kubwa na ishabeba taji la cafcl.
Sasa si ndiyo wamesema watawaletea kikosi Cha B ndiyo size yenu. Timu yao ya A haina muda huo wa kupotezaMazembe walishawai kuifunga Simba ni timu kubwa na ishabeba taji la cafcl.
Mkuu walaumu To Mazembe waliokataa kuleta timu yao siku yenu, kubalini kucheza na kikosi Chao Cha pili, Ile Mazembe yenyewe hawana muda wa kupotezaAliewaitaga nyani akukosea!! Minyani mwitu, mijitu mwitu,inabweka kama mbwa..yule mzungu aliona mbali sana..mijitu ya utopolo chura FC Ina shida sana,sijawahi kumuona mtu yuko utopolo akawa na akili timamu
wakujipooza mimi au wewe?,Simba ndo bingwa misimu minne back 2 back.Simba pre season hajafungwa hata mechi moja mpaka sasa,nyinyi mshatobolewa na Kapumbu.sasa hapo nani wa kujipooza kama sio wewe!Alisikika kolo mmoja akijipooza
Kinachoongelewa ni kuwa mnacheza na mazembe B..wakujipooza mimi au wewe?,Simba ndo bingwa misimu minne back 2 back.Simba pre season hajafungwa hata mechi moja mpaka sasa,nyinyi mshatobolewa na Kapumbu.sasa hapo nani wa kujipooza kama sio wewe!