Simba mwezi wa pili, tatu na nne ni mwezi wa kupambana

Simba mwezi wa pili, tatu na nne ni mwezi wa kupambana

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Ukiangalia Ratiba ya SIMBA kwa mwezi wa pili, mwezi wa tatu na wa nne ni mwezi ambao SImba inahitaji kila mchezaj wa Simba awe imara sana.

Ratiba hii kwa staili yetu hamna muda wa kujaribu tena wachezaj we need to play football. Kuanza kujaribu wachezaji kipindi hiki kitatugharimu sana.

Mashabiki kwa sasa tushikamane tumuunge mkono ROBERTINHO ili tuvuke vizuri.

SIMBA NGUVU MOJA
 
RATIBA YA SIMBA IPO KAMA IFUATAVYO.

SIMBA ......... SINGIDA.

HOROYA ....... SIMBA.

SIMBA .......... RAJA.

SIMBA ........ AZAM.

SIMBA ...............VIPERS.

SIMBA ........ MTIBWA.

SIMBA ........... HOROYA.

RAJA................ SIMBA.

IHEFU............ SIMBA.

SIMBA........ YANGA.

Nguvu Moja
 
Haya ndo mambo mazuri ya kushauri, kuna ambao kazi yao ni kulaumu tu, mpaka sasa wapo kati ya Mgunda na Oliveira.

Ieleweke kuwa hatusemi kuwa hakuna kukoselewa au changamoto ambazo yanapaswa kuwekwa sawa.
 
Hii ratiba simba wameizoea kwa sasa huna haja ya kuwa na wasiwasi. Hofu yangu kule upande wa pili kwenda kulitia taifa aibu maana hii ratiba ni kama mpya kwao

Watadondosha point nyumbani na ugenini hutoamini. Yaani watavurugana vibaya mno.
Kama nawaona utopolo vile[emoji2][emoji2]
 
Hii ratiba simba wameizoea kwa sasa huna haja ya kuwa na wasiwasi. Hofu yangu kule upande wa pili kwenda kulitia taifa aibu maana hii ratiba ni kama mpya kwao

Watadondosha point nyumbani na ugenini hutoamini. Yaani watavurugana vibaya mno.
Wamezoea tokea lini? Hatukushuhudia Simba ikiwekewa viporo hadi mechi saba huko nyuma? Kama TFF wataacha upuuzi wao wa kusogeza mechi mbele basi tutashuhudia Simba ikiwa katika wakati mgumu kwasababu haina squad kubwa kuifanya rotation ya mara kwa mara
Yanga walishafanya rotation ya wachezaji zaidi ya mechi tano na wamepata matokeo.
 
Haya ndo mambo mazuri ya kushauri, kuna ambao kazi yao ni kulaumu tu, mpaka sasa wapo kati ya Mgunda na Oliveira.

Ieleweke kuwa hatusemi kuwa hakuna kukoselewa au changamoto ambazo yanapaswa kuwekwa sawa.
Kinachotokea kwa baadhi ya mashabiki wasiojielewa sasa hivi ni kama vile wanaomba miungu yao mzungu aharibu ili wapate sababu ya kutokea[emoji2][emoji2]

Kwasababu siku hizi timu inacheza vibaya, lakini wakipiga kelele wanakumbushwa tumeshinda, pumzi inakata, siku timu ikifungwa watalipuka kama wamemwagiwa pilipili.
 
Hii ratiba simba wameizoea kwa sasa huna haja ya kuwa na wasiwasi. Hofu yangu kule upande wa pili kwenda kulitia taifa aibu maana hii ratiba ni kama mpya kwao

Watadondosha point nyumbani na ugenini hutoamini. Yaani watavurugana vibaya mno.
Mpira siyo mazoea, hii Simba inaenda kupigwa kama ngoma.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
RATIBA YA SIMBA IPO KAMA IFUATAVYO.

SIMBA ......... SINGIDA.

HOROYA ....... SIMBA.

SIMBA .......... RAJA.

SIMBA ........ AZAM.

SIMBA ...............VIPERS.

SIMBA ........ MTIBWA.

SIMBA ........... HOROYA.

RAJA................ SIMBA.

IHEFU............ SIMBA.

SIMBA........ YANGA.

Nguvu Moja
Mpaka mechi ya Yanga Simba itakuwa tayari ishafukuza kocha.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
RATIBA YA SIMBA IPO KAMA IFUATAVYO.

SIMBA ......... SINGIDA.

HOROYA ....... SIMBA.

SIMBA .......... RAJA.

SIMBA ........ AZAM.

SIMBA ...............VIPERS.

SIMBA ........ MTIBWA.

SIMBA ........... HOROYA.

RAJA................ SIMBA.

IHEFU............ SIMBA.

SIMBA........ YANGA.

Nguvu Moja
Hii ratiba ni ngumu kwenye makaratasi ila ndani dk 90 nyepesi kwa mnyama tutulie tunatoboa..
Simba siyo mgeni wa hizo game za CAF tunajua kuzicheza.
 
Hiki kipimo kwa Robertinho but tutavuka
 
Hii ratiba simba wameizoea kwa sasa huna haja ya kuwa na wasiwasi. Hofu yangu kule upande wa pili kwenda kulitia taifa aibu maana hii ratiba ni kama mpya kwao

Watadondosha point nyumbani na ugenini hutoamini. Yaani watavurugana vibaya mno.
Kwa kikosi kipi labda ulichonacho mpaka ujilinganishe na wenzako? Akikosekana chama mnatamani mpira usichezwe siku iyo sasa unalinganisha na wenzako ambao ata wakikupangia kikosi chao cha pili unachezea kichapo, jitafakari kabla ujaropoka
 
RATIBA YA SIMBA IPO KAMA IFUATAVYO.

SIMBA ......... SINGIDA.

HOROYA ....... SIMBA.

SIMBA .......... RAJA.

SIMBA ........ AZAM.

SIMBA ...............VIPERS.

SIMBA ........ MTIBWA.

SIMBA ........... HOROYA.

RAJA................ SIMBA.

IHEFU............ SIMBA.

SIMBA........ YANGA.

Nguvu Moja
TFF isipoingilia kati kuweka viporo kuna uwezekano wa benchi la ufundi la simba kutimuliwa ndani ya hii february.
 
Ukiangalia Ratiba ya SIMBA kwa mwezi wa pili, mwezi wa tatu na wa nne ni mwezi ambao SImba inahitaji kila mchezaj wa Simba awe imara sana.

Ratiba hii kwa staili yetu hamna muda wa kujaribu tena wachezaj we need to play football. Kuanza kujaribu wachezaji kipindi hiki kitatugharimu sana.

Mashabiki kwa sasa tushikamane tumuunge mkono ROBERTINHO ili tuvuke vizuri.

SIMBA NGUVU MOJA
Tumpe muda kocha wetu Mbrazil aendelee tu kuwajaribu wachezaji. Maana bado ni mgeni, na hivyo hajawazoea. Tutajipanga tena msimu ujao.
 
Back
Top Bottom