Kumpinga Mangungu ni kwenye Uchaguzi, Unadhani hapa itasaidia nini na ashakuwa M/kiti kwa mara nyingine.MANGUNGU AMENIUDHI SANA.
SIMBA YANGU.
Kama nawaona utopolo vile[emoji2][emoji2]Hii ratiba simba wameizoea kwa sasa huna haja ya kuwa na wasiwasi. Hofu yangu kule upande wa pili kwenda kulitia taifa aibu maana hii ratiba ni kama mpya kwao
Watadondosha point nyumbani na ugenini hutoamini. Yaani watavurugana vibaya mno.
Wamezoea tokea lini? Hatukushuhudia Simba ikiwekewa viporo hadi mechi saba huko nyuma? Kama TFF wataacha upuuzi wao wa kusogeza mechi mbele basi tutashuhudia Simba ikiwa katika wakati mgumu kwasababu haina squad kubwa kuifanya rotation ya mara kwa maraHii ratiba simba wameizoea kwa sasa huna haja ya kuwa na wasiwasi. Hofu yangu kule upande wa pili kwenda kulitia taifa aibu maana hii ratiba ni kama mpya kwao
Watadondosha point nyumbani na ugenini hutoamini. Yaani watavurugana vibaya mno.
Kinachotokea kwa baadhi ya mashabiki wasiojielewa sasa hivi ni kama vile wanaomba miungu yao mzungu aharibu ili wapate sababu ya kutokea[emoji2][emoji2]Haya ndo mambo mazuri ya kushauri, kuna ambao kazi yao ni kulaumu tu, mpaka sasa wapo kati ya Mgunda na Oliveira.
Ieleweke kuwa hatusemi kuwa hakuna kukoselewa au changamoto ambazo yanapaswa kuwekwa sawa.
Mpira siyo mazoea, hii Simba inaenda kupigwa kama ngoma.Hii ratiba simba wameizoea kwa sasa huna haja ya kuwa na wasiwasi. Hofu yangu kule upande wa pili kwenda kulitia taifa aibu maana hii ratiba ni kama mpya kwao
Watadondosha point nyumbani na ugenini hutoamini. Yaani watavurugana vibaya mno.
Mpaka mechi ya Yanga Simba itakuwa tayari ishafukuza kocha.RATIBA YA SIMBA IPO KAMA IFUATAVYO.
SIMBA ......... SINGIDA.
HOROYA ....... SIMBA.
SIMBA .......... RAJA.
SIMBA ........ AZAM.
SIMBA ...............VIPERS.
SIMBA ........ MTIBWA.
SIMBA ........... HOROYA.
RAJA................ SIMBA.
IHEFU............ SIMBA.
SIMBA........ YANGA.
Nguvu Moja
Hii ratiba ni ngumu kwenye makaratasi ila ndani dk 90 nyepesi kwa mnyama tutulie tunatoboa..RATIBA YA SIMBA IPO KAMA IFUATAVYO.
SIMBA ......... SINGIDA.
HOROYA ....... SIMBA.
SIMBA .......... RAJA.
SIMBA ........ AZAM.
SIMBA ...............VIPERS.
SIMBA ........ MTIBWA.
SIMBA ........... HOROYA.
RAJA................ SIMBA.
IHEFU............ SIMBA.
SIMBA........ YANGA.
Nguvu Moja
Kwa kikosi kipi labda ulichonacho mpaka ujilinganishe na wenzako? Akikosekana chama mnatamani mpira usichezwe siku iyo sasa unalinganisha na wenzako ambao ata wakikupangia kikosi chao cha pili unachezea kichapo, jitafakari kabla ujaropokaHii ratiba simba wameizoea kwa sasa huna haja ya kuwa na wasiwasi. Hofu yangu kule upande wa pili kwenda kulitia taifa aibu maana hii ratiba ni kama mpya kwao
Watadondosha point nyumbani na ugenini hutoamini. Yaani watavurugana vibaya mno.
TFF isipoingilia kati kuweka viporo kuna uwezekano wa benchi la ufundi la simba kutimuliwa ndani ya hii february.RATIBA YA SIMBA IPO KAMA IFUATAVYO.
SIMBA ......... SINGIDA.
HOROYA ....... SIMBA.
SIMBA .......... RAJA.
SIMBA ........ AZAM.
SIMBA ...............VIPERS.
SIMBA ........ MTIBWA.
SIMBA ........... HOROYA.
RAJA................ SIMBA.
IHEFU............ SIMBA.
SIMBA........ YANGA.
Nguvu Moja
Tumpe muda kocha wetu Mbrazil aendelee tu kuwajaribu wachezaji. Maana bado ni mgeni, na hivyo hajawazoea. Tutajipanga tena msimu ujao.Ukiangalia Ratiba ya SIMBA kwa mwezi wa pili, mwezi wa tatu na wa nne ni mwezi ambao SImba inahitaji kila mchezaj wa Simba awe imara sana.
Ratiba hii kwa staili yetu hamna muda wa kujaribu tena wachezaj we need to play football. Kuanza kujaribu wachezaji kipindi hiki kitatugharimu sana.
Mashabiki kwa sasa tushikamane tumuunge mkono ROBERTINHO ili tuvuke vizuri.
SIMBA NGUVU MOJA