Simba mzingatie haya machache

Simba mzingatie haya machache

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi

Simba mzingatie haya

Mkishindwa kufunga magori basi hata walau mshinde njaa

Na kama mkishindwa kusonga mbele bas walau hata msonge ugari

Mkumbuke sisi kama wana jangwani tutashangilia team itayoshinda leo endapo mkishinda nyie tutawashangilia ila endapo wakishinda wamakua na wanyungwe bas tutawashangilia hao pia

Sisi hatuna makuu ni watu safi sana

LONDON BOY
 
Sikia boy,,leo simba ushindi ni lazima,,
Kwanza mpaka sasa ushindi wa nje ya uwanja simba anaongoza 4 bila,
 
Aman iwe nanyi

Simba mzingatie haya

Mkishindwa kufunga magori basi hata walau mshinde njaa

Na kama mkishindwa kusonga mbele bas walau hata msonge ugari

Mkumbuke sisi kama wana jangwani tutashangilia team itayoshinda leo endapo mkishinda nyie tutawashangilia ila endapo wakishinda wamakua na wanyungwe bas tutawashangilia hao pia

Sisi hatuna makuu ni watu safi sana

LONDON BOY
Chamsingi usije kusema et kumbe ile team nikibonde maana leo inashuka mvua ya magoal
 
Aman iwe nanyi
Simba mzingatie haya
Mkishindwa kufunga magori basi hata walau mshinde njaa
Na kama mkishindwa kusonga mbele bas walau hata msonge ugari
Mkumbuke sisi kama wana jangwani tutashangilia team itayoshinda leo endapo mkishinda nyie tutawashangilia ila endapo wakishinda wamakua na wanyungwe bas tutawashangilia hao pia
Sisi hatuna makuu ni watu safi sana
LONDON BOY
Ushindi upo ila atakayeshinda bado hajajulikana na atakayesonga mbele yupo ila hajajulikana
 
Niliapa ntakunya hadharani simba ikifungwa.

Sasa kuna boya mmoja wa yanga kashika poo jipyaa,kasogea pembeni yangu hapa,,nyafyatua mitama asahivi hapa akiniletea ujinga.
Moja bila mpaka sasa ila litarudi
 
Niliapa ntakunya hadharani simba ikifungwa.

Sasa kuna boya mmoja wa yanga kashika poo jipyaa,kasogea pembeni yangu hapa,,nyafyatua mitama asahivi hapa akiniletea ujinga.
Kunya sasa!
 
Back
Top Bottom