Kesho wadau njooni muangalie soka la uhakika kati ya timu hizi mbili mahiri kwa sasa.
hope simba wataendeleza kidedea.
shabiki wa kweli.
Kitimtim patachimbika Azam wanakuja kwa kazi ila spidi ya scud sijui kama wataiweza airforce1
Hayo ni majigambo tu ya wabongo tulio zoea kcheza mech kwenye nyungo za mabibi/mababu zetu, ila wanaojua mpira hufanyamazoezi ya ukweli na mpira wa kufurahisha, kuburudisha unaonekana,
Ligi gani tena? Mzunguko wa kwanza wa Vodacom PL umeisha? Mbona Simba vs Mtibwa bado? Au mechi ya maveterani wa Simba na Azam?
Ni vibaya kuuliza? Kwa kuwa sijaelewa, je, ni busara niendelee kukaa kimya eti kwa kuogopa kudandia gari? Ni nani mwenye gari basi humu JF ili tuwe tunaweka oda ya lift mapema? Mambo mangapi tulikuwa hatuyajui kabla ya kujiunga humu?Ndo tabu ya kudandia gari kwa mbeleππ
Kesho wadau njooni muangalie soka la uhakika kati ya timu hizi mbili mahiri kwa sasa.
hope simba wataendeleza kidedea.
shabiki wa kweli.
Kesho wadau njooni muangalie soka la uhakika kati ya timu hizi mbili mahiri kwa sasa.
hope simba wataendeleza kidedea.
shabiki wa kweli.
Ni mechi ya kirafiki bwana- itachezwa kesho na sio leo kama hapo awali.Ligi gani tena? Mzunguko wa kwanza wa Vodacom PL umeisha? Mbona Simba vs Mtibwa bado? Au mechi ya maveterani wa Simba na Azam?
pole wee,siasa ni michezo.hizi siasa zimetuathiri sana! Mie akili yangu ilikwenda moja-moja kwingine: Yaani sophia simba na azan zungu kwamba mgogoro wao umezuka tena!
Problem true true!