Simba na mikakati ya ubingwa

Simba na mikakati ya ubingwa

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
SIMBA tupambane sana mazoezini. Hii ndio silaha yetu wachezaji wengi wa SIMBA FITNESS ipo chini sana.

Pili SIri za TIMU nani anazitoa ndani kwenda nje? Hili ndio tatizo kubwa SIMBA.

Mwisho solution ya kuifunga kila TIMU ni kuongeza ufanisi golini timu kwa sasa inacheza vzr.

YANGA inatunga kwa sababu mbili mosi Yanga wakicheza na simba wanakuja na mkakati wa kuumiza key player wetu tushukuru KIBU DENIS ni strong sana.

Nje ya uwanja wanaroga sana na kuhakikisha wanapata siri zetu zote. Tukiweza kuyatatua haya yanga anafungika vzr tu.

Uzuri JANUARI MPANZU anaanza kucheza hii ni hatua nzuri kwetu.

FADLU apewe muda sana tusisikilize hawa YANGA kelele zaoo kwa sasa tufocus na mechi moja baada ya nyingine.

Mwisho SIMBA tusipokaa imara kazi ipo tuna vita kubwa mno nje na ndani ya uwanja. Fanyeni upelelez vzr mtaelewa
 
Kama ulozi unamsaada katika football basi siku ile mlipofanya ulozi waziwazi kwa kuuwasha moto uwanjani na moshi kuonekana kule south Africa mlipocheza na keizer ulozi ungewasaidia na mngepata matokeo ila mkatandikwa chuma 4. tengenezeni timu kwa kusajili wachezaji wenye viwango na kubalini yanga ni bora kuliko nyie vinginevyo mtaendelea kufungwa na yanga kila mtakapo Kutana nao
 
SIMBA tupambane sana mazoezini. Hii ndio silaha yetu wachezaj wengi wa SIMBA FITNESS ipo chini sana. Pili SIri za TIMU nani anazitoa ndani kwenda nje??? Hili ndio tatizo kubwa SIMBA. Mwisho solution ya kuifunga kila TIMU ni kuongeza ufanisi golini timu kwa sasa inacheza vzr. YANGA inatunga kwa sbb mbili mosi yanga wakicheza na simba wanakuja na mkakati wa kuumiza key player wetu tushukuru KIBU DENIS ni strong sana. Nje ya uwanja wanaroga sana na kuhakikisha wanapata siri zetu zote. Tukiweza kuyatatua haya yanga anafungika vzr tu. Uzuri JANUARI MPANZU anaanza kucheza hii ni hatua nzuri kwetu.

FADLU apewe muda sana tusisikilize hawa YANGA kelele zaoo kwa sasa tufocus na mechi moja baada ya nyingine. Mwisho SIMBA tusipokaa imara kazi ipo tuna vita kubwa mno nje na ndani ya uwanja. Fanyeni upelelez vzr mtaelewa
kama hii ndo mikakati ya ubingwa basi 2030 mtafika kweli bila ubingwa
 
Uko sahihi,ndani ya uwanja Simba ni bora sana
Yanga wanatufunga nje ya uwanja kwanza,Manara kaondika na waganga na wachawi wote kawakabidhi kwa injinia
Marefa wote wametengewa bajeti ba jiesem.timu nane zinadhaminiwa na jiesem hapo kutoboa ni muujiza
 
Back
Top Bottom