Simba na tetesi za kumtaka Jerry Tegete!!

sir echa

Member
Joined
May 28, 2010
Posts
85
Reaction score
3
Kuna nyepesi nyepesi kibao zimeenea kuwa simba inamtaka Jerrison tegete,

Msemaji wa Yanga amekanusha taarifa hizo ila simba wamekaa kimya..kuna msemo usemao ukiona kimya ujue kweli..Je simba mnataka tuamini kwamba kweli mnamuwinda tegete na kummezea mate???hebu kanusheni basi na nyie.
 
Ukweli utabaki palepale, either wanamuhitaji or not, hakuna tatizo, as what we know Tegete as professional player akiamua kuhama ni kawaida tu. We unaonaje? wanachoangalia wachezaji ni maslah mazuri na utulivu wa nafsi yake, labda anawahofia akina KIIZA, ASAMOAH, MWAPE Acha aje msimbazi
 
Kuja msimbazi inawezekana ila so kimaslahi kwani alipokuna neema zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…