Simba na TMA iliyo Championship ni 3-0 na Yanga SC na Coastal Union iliyoko Premier League ni 3-1, tulikuwa na haki ya 'Kuwakimbia' juzi tarehe 8

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Najua nitachukiwa na kubishiwa, ila Kidarubini bado uwezo wa Simba SC ni mdogo kuulinganisha na Yanga SC iliyotimia.
 
Umeongea ukweli. Ile mechi ingechezwa siku ile, kuna mafuriko yangetokea.
Huu Uzi wangu nimeuanzisha Makusudi ili kuwajua Wanafiki. Wewe siku zote hapa JamiiForums nikianzisha tu Mada yoyote ile (hata ya Kiutani) kuihusu / kuwahusu Yanga SC wako (yako) huwa haraka sana unakuja Kunitukana na hata Kunikashifu. Nawasubiria pia Wanafiki wenzako wengine kutoka Yanga SC na najua leo mtaufurahia kweli kweli huu Uzi wakati kumbe Kiuhalisia Mimi nawajaza tu ili niwajue na niwasanifu.
 
Ila upoje?
Mpira huwa unachezwa kutokana na gemu-plan ya mechi husika kulingana na ratiba ya siku husika

Mpira huwa hauchezwi kwa kulinganisha na mechi zilizopita au kulinganisha na mechi ya timu nyingine.
 
Huu mwaka tangu umeanza nimekuwa muungwana sana kwako, na hasa nikichukulia mimi ni kaka yako wa hiyari! Ila mpaka muda huu nimegundua dogo hubebeki. Sasa subiri nikachukue silaha zangu za maangamizi.
 
Mpira huwa unachezwa kutokana na gemu-plan ya mechi husika kulingana na ratiba ya siku husika

Mpira huwa hauchezwi kwa kulinganisha na mechi zilizopita au kulinganisha na mechi ya timu nyingine.
Daaah mkuu umepiga chabo peppar yangu nn
 
Umeongea ukweli. Ile mechi ingechezwa siku ile, kuna mafuriko yangetokea.
Kwa sababu za kichawi zaidi na sio sababu za kimpira, mmeshindwa kuifunga timu kama Tabora au JKT goli nyingi,mnawezaje kujitapa kuifunga goli nyingi timu ya pili kwenye msimamo wa Ligi?
 
Duh Duh
 
We hujameza Dawa Zako!
Umesahau wale wa 3-1 Jezi pale mbele kuna Neno Limeandikwa Jiesiem.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…