Simba na wachambuzi wao hovyo sana

Simba na wachambuzi wao hovyo sana

Utopolo umebebwa sana halafu unakuja hapa kutamba hata aibu huoni?

Nini kilisababisha mwamuzi apulize kipenga wakati wa move ya Morrison na kapombe kwenye 18?Mwamuzi alikuwa anawaokoa

Nini kilisababisha goli kukataliwa?Hakuna ajuaye ni nini zaidi wa waamuzi waliotaka kuwaokoa.

Siku zote ubora wenu huwa mnauhesabu kwa kuifunga Simba,lakini ukweli si lolote ndio maana mkicheza mechi za kimataifa lazima mharibu
Simba waliingia uwanjani wakijua watafungwa, kwanini nasema hivi.
1. Wanasema sana na kushangilia kana kwamba wameshinda mechi.

2. Inonga kutamba kumdhiti Mayele,ni dalili ya wazi walikuwa wanamuhofia sana(mayele anatisha)

Kama simba wangekuwa bora kuliko yanga wangeshinda mchezo.

Wote ni bora,sasa simba wamekuwa na maneno mengiiii kana kwamba wameshinda mechi,hii inaonesha waliingia kwa hofu ya kupoteza mchezo

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lenu mnajisahaurisha Sana ,mwez mzima hapa jukwaan mmekua mkiimba taarabu kuwa tutamfunga Simba nyingi jumrisha na manara wenu yeye aliamin aucho ,bangala ,moloko mayele ndio mwiba kwa Simba ajab wote walifichwa Jana.

Simba hashangilii dro Bali anashangilia kuwaprove wrong kuwa bado nyie ni timu ya kawaida. Labda kama hukuangalia mpira jana, maana aliekuwa amezidiwa anajulikana Wazi, watu full kijiangusha kupoteza muda .

Simba anapocheza na yanga anakuwa Kama kakutana na Geita gold Ila yanga Sasa Mara aseme mtan Ni Azam Mara kwenye kujieleza aseme tumetoshana nguvu na mtaani wangu[emoji23][emoji23][emoji23] kauli za kimalaya Malaya tu.

Alafu Cha kukuongezea Simba Wala hashangilii draw Zaid anaumia kuzikosa point tatu Ila Bora hata draw ukizingatia lile zungu toleo la mwisho lilijimwambafai Sana.

Kama una jicho la kimchezo utagundua Simba Hana shida na yanga Bali Ana shida na zungu pori ,so hii Vita Ni ya Simba na zungu pori anayewananga viongoz wa Simba kila kukicha ,Simba Hana shida na yanga maana anamuona Kama zilivyo Geita ,kmc na timu zingine tu
Kama Bangala na Aucho walifichwa basi bila shaka mliondoka na point tatu hiyo jana. Au unataka kusema Simba waliingia kwa lengo la kupata sare?
 
Simba waliingia uwanjani wakijua watafungwa, kwanini nasema hivi.
1. Wanasema sana na kushangilia kana kwamba wameshinda mechi.

2. Inonga kutamba kumdhiti Mayele,ni dalili ya wazi walikuwa wanamuhofia sana(mayele anatisha)

Kama simba wangekuwa bora kuliko yanga wangeshinda mchezo.

Wote ni bora,sasa simba wamekuwa na maneno mengiiii kana kwamba wameshinda mechi,hii inaonesha waliingia kwa hofu ya kupoteza mchezo

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Simba wanaongea sana halafu wewe wa Yanga ndio umepost kabisa?
 
Mayele mnamkuza tu ila hamna kitu pale, jamaa ni mtupu na mbahatishaji

Halafu na nyie tabia ya kuwapa sifa za kindezi wachezaji wanaoifunga simba sijui mtaacha lini, balama mapinduzi yuko wapi saizi?

Haya upepo wa mayele umeshakata mna jiandaaje na mechi ya marudiano, mtakua na mchezaji gani wakututambia?
Ndezi anasifa gani?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Simba waliingia uwanjani wakijua watafungwa, kwanini nasema hivi.
1. Wanasema sana na kushangilia kana kwamba wameshinda mechi.

2. Inonga kutamba kumdhiti Mayele,ni dalili ya wazi walikuwa wanamuhofia sana(mayele anatisha)

Kama simba wangekuwa bora kuliko yanga wangeshinda mchezo.

Wote ni bora,sasa simba wamekuwa na maneno mengiiii kana kwamba wameshinda mechi,hii inaonesha waliingia kwa hofu ya kupoteza mchezo

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Simba hatushangilii Bali tunawacheka na kuwabeza.

Yanga mliingia na matokeo mfukoni na mkawa mmejaza ujinga kichwani kuwa Simba ni dhaifu mnaenda kushinda kilaini tena goli nyingi.

Mkajikuta mnaomba mechi iishe na dakika chache zilipoongezwa mlifurahi. Diarra alifikia hata kupoteza muda.

Yanga pumzi yenu Ni dakika 30 tu. Ndiyo maana kipindi cha pili mliingia kuzuia msifungwe, mliiheshimu Simba.NABI mwenyewe kakiri hilo.

Kabla ya mechi kila shabiki wa Yanga niliyekutana naye utasikia subiri tarehe 11.Mlijilisha upepo na kujazana ujinga mwingi.

Sisi tunawacheka, tunawatazama jinsi kwasasa msivyo na cha kuongea.

NB:Mayele ni straika wa msimu huu tu msimu ujao yule Ni garasa. Na hatawapa kile mlichotarajia.
 
Pumba Tupi
 
Ni mawazo yako,huzuiliwi kwani hayana madhara

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Huu ni upumbavu usiotibika,
Tatizo simba mnawategemea sana wachambuzi wetu kina shaffi,mayai nk.
Watakachosema hao ndicho mnachokwenda nacho.
Angalia simba anakona ngapi na yanga anakona ngapi, nini tafsiri ya kina kuwa nyingi upande mmoja?

Ina maana yanga alidominate mchezo,akafika Mara nyingi golini kwa simba.
Simba hawakuwa na option nyingine zaidi ya kuutoa mpira ili kuepusha hatari ya kupigwa.
.simba macho yetu,akili zenu na fahamu zenu zipo kwa wachambuzi.

Ninyi hamna macho,KUNA CHUO CHA WACHAMBUZI WA MPIRA?
WACHAMBUZI NI WATOTO WA MJINI TU WANATQFUTA WATOTO WAO WAENDE PUBLIC TOILET.
PENYE MPUNGA NDIPO WANAPOPASEMEA VIZURI.

Pia kucheza sana faulo ni dalili ya kuzidiwa.
 
Sifa mnampa ninyi kwa kumuhofia.
Mnashangila sare,inonga anatamba kwa kuzuwia,angekuwa mayele boya kama boko nini ngemfqnya atambe?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Nani anashangilia sare? Tupo nyuma point 2 kwenye msimamo halafu watu washangilie sare ? Anayeshangilia sare ni yule aliyekuwa anapoteza mda mpira uishe
 
Yanga ameposses zaidi kwenye eneo lake baada ya kuzidiwa eneo la kati na akina sadio kanoute na mkude, hivyo wakaanza kupiga pass nyingi kwenye eneo lao ili kuwavuta Simba alafu wapige mipira mirefu, hivyo tuachane na ball possession sababu haina maana yeyote kama unaposses kwenye eneo lako. Twende kwenye attempts ambapo simba ame-attempt mara nyingi zaidi ya yanga hii inamaana kwamba Simba ameshambulia zaidi ya yanga.
Mkuu unajua mpira lakini?? Ukute namuelekeza mtu aliyeanza kufuatilia mpira juzi hapa kama Dauda. Mkuu mimi ni level nyingine kwenye uchambuzi wa mpira, kwa umri wangu huu si kwa kuhadithiwa nimeanza kufatilia Mpira kipindi ambacho Mtibwa na Kajumulo wanatingisha nchi hii. Ni miaka 23 sasa.

Nakupa uchambuzi juu ya mpira wa jana maana unaonekana unafatilia mpira kwenye mitandao na ukute hata hujawahi kuingia uwanja wa taifa.

Kwa mechi ya jana YANGA walitawala katikati kuliko Simba. Viungo wa Simba walipokonya mipira michache sana kwa Yanga, ukilinganisha upotevu wa Simba kwa Yanga.

Yanga walipiga pasi za Mwisho zaidi ya 6 ambazo leo hii ndio tunawapongeza ONYANGO NA INONGA kwa kucheza vizuri kwa maana waliweza ama kumzuia MAYELE au kutoa nje na kuwa kona. Viungo wa Simba wamepiga pasi 2 za mwisho ambao ziliifika kwenye box la Yanga ambapo moja ilimkuta Morrison lkn Diara aliwahi kudaka na nyingine Ilikuwa inaenda kwa kwa Kagere na Mwamnyeto akaitoa na kuwa kona pekee kwa Simba. Eneo la katikati ya kiwanja Simba wamecheza faulo zaidi ya 8 ambapo yanga wao katikati wamecheza chini ya 6 tu.

Kama ulikuwa unafuatilia kila hatua ya mpira ule, Manula alipiga Goal kick zaidi ya 18 dhidi ya Goal kick kwa Diara 13 hapa ikijumisha zile ulizoona SOFT. Zaidi ya hapo Viungo wa Yanga ndio wameongoza kwa kuchezewa Rafu dhidi ya Simba.

Upande wa beki Simba ndio imefanya kazi kubwa zaidi kuliko Yanga. Clearance walizofanya Simba ni za hatari zaidi ya Zile za Simba ukiondoa moja tu akiyotoa Mwamnyeto. Unaposema Yanga walikuwa wanapiga pasi golini kwao ingewezekana vipi wapate kona nyingi kuliko Simba.

Yanga wamezidiwa SONT ambapo Simba walipata 3 dhidi ya 2 kwa Yanga. Hii haimaanishi kuwa Yanga hawakishambuli, Mashuti mengi ya Yanga yalikuwa Blocked na beki za Simba hali iliyompa usalama zaidi Manula.

Kwa ujumla VIUNGO WA YANGA WALIPIGA PASI 150+ dhidi ya 100+ za SIMBA. USAHIHI WA PASI VIUNGO KWA VIUNGO WA YANGA ULIKUWA 96% kwa wastani dhidi ya 90% kwa SIMBA.

Unaposikia BALL POSSESSION elewa kuwa ni UMILIKI WA MPIRA, KAMA YANGA WALICHEZA GOLINI KWAO KWANINI MSIENDE KUPOKONYA MKAFUNGA? WE UNADHANI BALL POSSESSION WANAANGALIA PASI PEKEE?? HATA MUDA AMBAO TIMU HUTUMIA KUPOKONYA MIPIRA KISHA WAKAIHOLD.

WEWE NI MTOTO NA NI SHABIKI MAANDAZI.
 
Tatizo lenu mnajisahaurisha Sana ,mwez mzima hapa jukwaan mmekua mkiimba taarabu kuwa tutamfunga Simba nyingi jumrisha na manara wenu yeye aliamin aucho ,bangala ,moloko mayele ndio mwiba kwa Simba ajab wote walifichwa Jana.

Simba hashangilii dro Bali anashangilia kuwaprove wrong kuwa bado nyie ni timu ya kawaida. Labda kama hukuangalia mpira jana, maana aliekuwa amezidiwa anajulikana Wazi, watu full kijiangusha kupoteza muda .

Simba anapocheza na yanga anakuwa Kama kakutana na Geita gold Ila yanga Sasa Mara aseme mtan Ni Azam Mara kwenye kujieleza aseme tumetoshana nguvu na mtaani wangu[emoji23][emoji23][emoji23] kauli za kimalaya Malaya tu.

Alafu Cha kukuongezea Simba Wala hashangilii draw Zaid anaumia kuzikosa point tatu Ila Bora hata draw ukizingatia lile zungu toleo la mwisho lilijimwambafai Sana.

Kama una jicho la kimchezo utagundua Simba Hana shida na yanga Bali Ana shida na zungu pori ,so hii Vita Ni ya Simba na zungu pori anayewananga viongoz wa Simba kila kukicha ,Simba Hana shida na yanga maana anamuona Kama zilivyo Geita ,kmc na timu zingine tu
Straight to the point! Unajua walijipa uhakika kuwa wataifunga Simba kwa kurejea kwenye kiwango alichoonesha kule shirikisho, wasijue kule siyo level yao, maana slogan yao haikufua dafu mbele ya gia river
 
Ukitaka kujua uwezo halisi wa wale, usiwape wiki kujiandaa, wambie Leo, badae au kesho, utashangaaaa
Game ikirudiwa kesho, Makambo hatakubali tena kucheza. Maana mipira haitamfikia. Kuna beki kule unyamani zinakaba hadi upepo
 
Back
Top Bottom