allesandro 2021
Senior Member
- Feb 10, 2021
- 142
- 156
Upepo wa Mayele umekata kivipi mkuu?
Balama ni majeruhi,unafahamu hilo
Balama ni majeruhi,unafahamu hilo
Mayele mnamkuza tu ila hamna kitu pale, jamaa ni mtupu na mbahatishaji
Halafu na nyie tabia ya kuwapa sifa za kindezi wachezaji wanaoifunga simba sijui mtaacha lini, balama mapinduzi yuko wapi saizi?
Haya upepo wa mayele umeshakata mna jiandaaje na mechi ya marudiano, mtakua na mchezaji gani wakututambia?