SIMBA NA WAGOSI COAST UNION

Hivi Morogoro Yanga kafungwa ngapi!!???
 
Goli la Mtibwa Riphat Khamis dakika ya 52.Kama kawaida yao wakifungwa wamemzonga refa na kumsukuma mshika kibendera.
Wachezaji wa Azam walifungiwa mechi 3 kwa kosa kama hilo. Tuone Bodi ya ligi itachukua hatua gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…