Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Kusema kuwa Gusa Achia Twende Kwao imeiva kiasi kwamba kila anayekanyaga anakula 4 au 5 sio kweli, uongo, uongo, uongo.
Kitendo cha jamaa kuhamia KMC na kujifanya wanafanya mazoezi maana yake yale mambo waliyokuwa wakoyafanya pale Chamazi yamehamia kule Kinondoni.
Simba watapata wakati mgumu sana raundi ya pili kwenye uwanja huo kama watakosa wataalamu wazuri wa kudetect ndumba za jangwani.
siku hizi wamehamia kabisa pale Kinondoni kufanya mazoezi, sio kwa bahati mbaya, Gusa achia twende kwao imechanganyika na uswahili na wala sio ufundi wa kocha.
Raundi ya 2 watashinda mechi zote pamoja na kutufunga sisi Simba, believe me or not