Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Majungu FC!Kusema kuwa Gusa Achia Twende Kwao imeiva kiasi kwamba kila anayekanyaga anakula 4 au 5 sio kweli, uongo, uongo, uongo.
Kitendo cha jamaa kuhamia KMC na kujifanya wanafanya mazoezi maana yake yale mambo waliyokuwa wakoyafanya pale Chamazi yamehamia kule Kinondoni.
Simba watapata wakati mgumu sana raundi ya pili kwenye uwanja huo kama watakosa wataalamu wazuri wa kudetect ndumba za jangwani.
siku hizi wamehamia kabisa pale Kinondoni kufanya mazoezi, sio kwa bahati mbaya, Gusa achia twende kwao imechanganyika na uswahili na wala sio ufundi wa kocha.
Raundi ya 2 watashinda mechi zote pamoja na kutufunga sisi Simba, believe me or not
Mbona mnaanza kutoka kwenye mashimo yenu mapema sana? Moto wa petroli imeanza kuwachoma uko mliko na bado mpaka mtaimba mapambio ya kusifu na kuabudu!Kusema kuwa Gusa Achia Twende Kwao imeiva kiasi kwamba kila anayekanyaga anakula 4 au 5 sio kweli, uongo, uongo, uongo.
Kitendo cha jamaa kuhamia KMC na kujifanya wanafanya mazoezi maana yake yale mambo waliyokuwa wakoyafanya pale Chamazi yamehamia kule Kinondoni.
Simba watapata wakati mgumu sana raundi ya pili kwenye uwanja huo kama watakosa wataalamu wazuri wa kudetect ndumba za jangwani.
siku hizi wamehamia kabisa pale Kinondoni kufanya mazoezi, sio kwa bahati mbaya, Gusa achia twende kwao imechanganyika na uswahili na wala sio ufundi wa kocha.
Raundi ya 2 watashinda mechi zote pamoja na kutufunga sisi Simba, believe me or not
🤣Twende pamoja Camara kadaka mech zoote aumie leo utaona pengo ....Kusema kuwa Gusa Achia Twende Kwao imeiva kiasi kwamba kila anayekanyaga anakula 4 au 5 sio kweli, uongo, uongo, uongo.
Kitendo cha jamaa kuhamia KMC na kujifanya wanafanya mazoezi maana yake yale mambo waliyokuwa wakoyafanya pale Chamazi yamehamia kule Kinondoni.
Simba watapata wakati mgumu sana raundi ya pili kwenye uwanja huo kama watakosa wataalamu wazuri wa kudetect ndumba za jangwani.
siku hizi wamehamia kabisa pale Kinondoni kufanya mazoezi, sio kwa bahati mbaya, Gusa achia twende kwao imechanganyika na uswahili na wala sio ufundi wa kocha.
Raundi ya 2 watashinda mechi zote pamoja na kutufunga sisi Simba, believe me or not
Yaani unempangia kocha kikosi cha kwanza ili upate cha kukosoa? Eti Mutale anaanza na Mpanzu anaanzia benchi. Utaona vipi pengo la Camara wakati kuna kipa namba moja wa timu ya taifa ya Tanzania Manula yuko benchi? Kwa kuwa kuna pengo la Diarra unataka kubalance mzani.🤣Twende pamoja Camara kadaka mech zoote aumie leo utaona pengo ....
Namba 7-Yanga vs Simba-Max vS Mutale
Sub:Mzize vs Chasambi
No 11-Pacome Vs Kibu
Sub:Farid Vs Mpanzu
No 10:Aziz ki vs Ahou
Sub:Chama vs Awesu awesu
Najarib kutengeneza kikosi uchwara nikufikirishe tuachane na mambo ya nyuma ya pazia kwa NBC yanga kamzidi Simba vitu vingi asee bila ushabiki ..Simba anasema kafungwa goli chache ambazo ni 5 katika mech 3 ,yanga kafungwa goli 6 katika mech 3 hizo hizo....Simba bado sana sana asee
Nimekupa challenge Tu maana angalia mfano farid Vs mpanzu ataanza mpanzu Tu...Manula ni huyu aliekula 5,inshu sio experience Tu pia exercises za kutafuta hio experience ni muhimu ndio mana timu karibia zote duniani zinazosumbua akiumia flani unajipangia kikosi ww mwenyewe au niseme mchezaji Fulani kachoka flani akiingia chaap kikosi kinatiki tukiangalia Simba kapombe Tu akiumia Kijiri bado kama vile anaingia Leo .....au tuseme mpanzu akichoka nan upande wake ataleta ladha inayokaribiana nae Mutale???,Chasambi????....Yaani unempangia kocha kikosi cha kwanza ili upate cha kukosoa? Eti Mutale anaanza na Mpanzu anaanzia benchi. Utaona vipi pengo la Camara wakati kuna kipa namba moja wa timu ya taifa ya Tanzania Manula yuko benchi? Kwa kuwa kuna pengo la Diarra unataka kubalance mzani.
Simba ilipoanza msimu tulisema wachezaji wakijiamini timu imepatikana. Wachezaji sasa wanajiamini hasa baada ya kushinda mechi ngumu ngumu na kupata matokeo katika mazingira magumu, ambacho bado kinajengwa ni chemistry kuanzia kati hadi mbele. Siyo kiwango, ni maelewano kati ya wachezaji na kucheza kitimu. Hili linachukua muda ila linakuja taratibu.
Hakuna pia asiyejua kuwa wachezaji wa Yanga wana experience zaidi ila hiyo haiondoi ubora wa wachezaji wa Simba. Experience inakuja na muda.
Hakuna timu, au niseme ni timu chache sana zinatokeaga ambazo mchezaji aliye first 11 na aliye benchi wote wanalingana uwezo. Acheni kudanganyana. Ingekuwa hivyo wachezaji wangekuwa wanalipwa mishahara sawa. Hao kina Kibabage hamtaki hata kuwasikia. Mzize mwenyewe mlishamkataa. Musonda naye mnampendaga kwa vipindi. Captain wenu hamumuamini. Hakuna asiyejua Yanga bila Bacca na Aucho hamna timu.Nimekupa challenge Tu maana angalia mfano farid Vs mpanzu ataanza mpanzu Tu...Manula ni huyu aliekula 5,inshu sio experience Tu pia exercises za kutafuta hio experience ni muhimu ndio mana timu karibia zote duniani zinazosumbua akiumia flani unajipangia kikosi ww mwenyewe au niseme mchezaji Fulani kachoka flani akiingia chaap kikosi kinatiki tukiangalia Simba kapombe Tu akiumia Kijiri bado kama vile anaingia Leo .....au tuseme mpanzu akichoka nan upande wake ataleta ladha inayokaribiana nae Mutale???,Chasambi????....
Kusema kuwa Gusa Achia Twende Kwao imeiva kiasi kwamba kila anayekanyaga anakula 4 au 5 sio kweli, uongo, uongo, uongo.
Kitendo cha jamaa kuhamia KMC na kujifanya wanafanya mazoezi maana yake yale mambo waliyokuwa wakoyafanya pale Chamazi yamehamia kule Kinondoni.
Simba watapata wakati mgumu sana raundi ya pili kwenye uwanja huo kama watakosa wataalamu wazuri wa kudetect ndumba za jangwani.
siku hizi wamehamia kabisa pale Kinondoni kufanya mazoezi, sio kwa bahati mbaya, Gusa achia twende kwao imechanganyika na uswahili na wala sio ufundi wa kocha.
Raundi ya 2 watashinda mechi zote pamoja na kutufunga sisi Simba, believe me or not
Huu nao ni ushabiki tu🤣Twende pamoja Camara kadaka mech zoote aumie leo utaona pengo ....