Dalali: Bilion 10 mara ya Kwanza...
Simba; Bilioni 13
Dalali: Bilion 13 mara ya Kwanza..
Bilioni 13 Mara ya pili...
Yanga: Bilioni 20
Dalali: Bilion 20 Mara ya Kwanza,
Bilioni 20 mara ya pili...
Bilion 20 mara ya.....
Simba: Bilioni 24
Dalali: Bilion 24 mara ya Kwanza...