Simba na Yanga kujua wapinzani wao kwenye makundi katika draw ya October 7, 2024

Acha uoga, mfungwa hachagui gereza na ukisema timu Yako kubwa lazima ukutane na wakubwa wenza Ili uoneshe ukubwa wako.
Usipende kuongelea ushabiki. Pep Guadiola na Man City yake inavyopangwa droo ya mtoano anakuambia sio vyema kukutana na Madrid au Bayern katika hatua hizi.

Kuwa bingwa haimaanishi utawafunga wakubwa tu. Sometimes zinapenya kutokana kutokana na aina ya Wapinzani wanaokutana nao. Au unahisi msimu uliopita Yanga angepewa Petro De Luanda badala ya Mamelodi nini kingetokea?

Hao kina Aziz Ki na Chama wasikupe kiburi ukajiona yoyote yule unaweza kumtoa. Kumbuka hatutafuti kufa kiume, tunatafuta tufike mbali zaidi ya mwaka jana.

A Ahly is not a joke.
 
Kumbuka mnyama atakuwa pot A kwenye confederation.
 
sema CAF na TFF ni mtu na binamu yake kupanga makundi ndo mpk tar 7!!!
yaani nilijua wiki hii haiishi kila kitu kitaisha kuhusu makundi na ratiba zake
 
Unajua mpira, watanzania wengi huwa ni wajinga ama ukipenda waite mashabiki maandazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…