figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Heshima kwenu wakuu,
Mimi sipendi hii Simba na Yanga. Hebu fikiria Baba na Mama, Baba ndo kichwa. Yaani jina linaloanza ndo lenye mashiko.
Nashauri tuanze kubadilishana Majina, sio kila siku Simba na Yanga. Ifike mahari iwe Yanga na Simba.
Sipendi hili neno Simba na Yanga.
Nami nilikuwa nafikiria hivo hivoUkianza hata kwa ABC tu utakutana S alafu Y simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji251] [emoji837][emoji837] [emoji837][emoji837]
[emoji837][emoji178][emoji178][emoji837][emoji178][emoji178][emoji837]
[emoji837][emoji178][emoji175][emoji178][emoji175][emoji178][emoji837]
[emoji837][emoji178][emoji175][emoji176][emoji175][emoji178][emoji837]
[emoji837][emoji178][emoji175][emoji175][emoji178][emoji837]
[emoji837][emoji178][emoji175][emoji178][emoji837]
[emoji837][emoji178][emoji837]
[emoji837]
Hata Paka na Panya, Mungu na ShetaniHamna chochote hata baba na mama herufi tu inafanya yake.
WafundisheNi sawa na kusema, LADIES and GENTLEMEN!
Always!
Ukiona dunia nzima inatambua ivyo jua basi Baba ni simba apo,alaf jiliwaze na s inaitangulia y
Sasa wewe utalinganisha lapa na Mnyama King of the Jungle?Heshima kwenu wakuu,
Mimi sipendi hii Simba na Yanga. Hebu fikiria Baba na Mama, Baba ndo kichwa. Yaani jina linaloanza ndo lenye mashiko.
Nashauri tuanze kubadilishana Majina, sio kila siku Simba na Yanga. Ifike mahari iwe Yanga na Simba.
Sipendi hili neno Simba na Yanga.
Wataelewa tu.Simba na Yanga ni sawa Ladies and gentleman huwez kusema gentleman and ladies hta sku moja