Simba na Yanga mwisho ni hapa hapa mnajuana kwa vilemba

Simba na Yanga mwisho ni hapa hapa mnajuana kwa vilemba

Kwenye league kuu sawa itaje simba na yanga ila kimataifa yanga na simba ni mbingu na ardhi

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Mambo hayo waongelee utopolo. Usiitaje timu ambayo ipo ktk watoto kumi bora wa CAF kati wa watoto zaidi laki moja africa nzima
 
Quality.

Wachezaji wa Simba ni Rejected velly low Quality.

IMeondoka Angalau quality kubwa ndio inakuja low quality zaidi.
 
Back
Top Bottom