Kaka yake shetani JF-Expert Member Joined Feb 1, 2023 Posts 5,771 Reaction score 14,732 Feb 17, 2023 #1 Nasikia mama katoa milioni 5 kila gori ila kiukweli hizi timu zikiwa ndani hapa unasema ni bora ila zikiwa nje ni mbege ya moshi. Tunaitaji kufumua soka la ndani kwanza tutaendelea hivi hivi kujifariji
Nasikia mama katoa milioni 5 kila gori ila kiukweli hizi timu zikiwa ndani hapa unasema ni bora ila zikiwa nje ni mbege ya moshi. Tunaitaji kufumua soka la ndani kwanza tutaendelea hivi hivi kujifariji
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Feb 18, 2023 #2 Kwenye league kuu sawa itaje simba na yanga ila kimataifa yanga na simba ni mbingu na ardhi Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Kwenye league kuu sawa itaje simba na yanga ila kimataifa yanga na simba ni mbingu na ardhi Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 9,748 Reaction score 26,238 Feb 18, 2023 #3 Mambo hayo waongelee utopolo. Usiitaje timu ambayo ipo ktk watoto kumi bora wa CAF kati wa watoto zaidi laki moja africa nzima
Mambo hayo waongelee utopolo. Usiitaje timu ambayo ipo ktk watoto kumi bora wa CAF kati wa watoto zaidi laki moja africa nzima
FK21 JF-Expert Member Joined May 27, 2019 Posts 8,600 Reaction score 10,760 Feb 18, 2023 #4 TAI DUME said: Mambo hayo waongelee utopolo. Usiitaje timu ambayo ipo ktk watoto kumi bora wa CAF kati wa watoto zaidi laki moja africa nzima Click to expand... Tutauona huo u 10 leo
TAI DUME said: Mambo hayo waongelee utopolo. Usiitaje timu ambayo ipo ktk watoto kumi bora wa CAF kati wa watoto zaidi laki moja africa nzima Click to expand... Tutauona huo u 10 leo
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 8,542 Reaction score 18,340 Feb 18, 2023 #5 Quality. Wachezaji wa Simba ni Rejected velly low Quality. IMeondoka Angalau quality kubwa ndio inakuja low quality zaidi.
Quality. Wachezaji wa Simba ni Rejected velly low Quality. IMeondoka Angalau quality kubwa ndio inakuja low quality zaidi.