Simba na Yanga ni Max na Zembwela ugenini.

Simba na Yanga ni Max na Zembwela ugenini.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Hiistoria haijapinduliwa, timu zetu zote simba na yanga hakuna iliyofurukuta wala yenye afadhali.

Nini na wapi tunakosea?
 
Tatizo kubwa ni kwa sababu uchawi na ulozi hauvuki mipaka.

Najua wewe si mgeni wa haya mambo yalivyotamalaki kwenye vilabu vyetu katika kupata ushindi wa ligi yetu ya ndani.
Kwa mfano;jana tu ninekuta wajumbe wa vilabu hivi wanaongelea kuloga ili timu yao ipate ushindi pindi watakapokutana na mtani.....
kwahiyo mpaka sasa wameenda kwa waganga 40.

Unadhani tunasalimikaje kwa mtindo huu zaidi ya hii aibu ?
 
tatizo ni kumlazimisha mzee Mwinyi atengue kauli wkt hatakiiii
 
Ila simba ipo vizuri sema mpira ni mchezo kama wa kubet (bahatisha) alafu waarabu wakiwa kwao wanaufanya uwanja kama cheat sheet.... Tofauti na sie tunakuwa wastaraabu wa kikuda.
 
Back
Top Bottom