Tatizo kubwa ni kwa sababu uchawi na ulozi hauvuki mipaka.
Najua wewe si mgeni wa haya mambo yalivyotamalaki kwenye vilabu vyetu katika kupata ushindi wa ligi yetu ya ndani.
Kwa mfano;jana tu ninekuta wajumbe wa vilabu hivi wanaongelea kuloga ili timu yao ipate ushindi pindi watakapokutana na mtani.....
kwahiyo mpaka sasa wameenda kwa waganga 40.
Unadhani tunasalimikaje kwa mtindo huu zaidi ya hii aibu ?