Simba na Yanga uwanja wa Taifa

Jamani nasikia maumivu mpaka leo ushabiki ni kazi ya ziada
 
Jamani nasikia maumivu mpaka leo ushabiki ni kazi ya ziada

Pole Bibie karibu sana Msimbazi, ni Raha na Furaha kwa Kwenda Mbele, nov 10 tunaenda kumalizana na Mtibwa Tutangaze Ubingwa Raundi ya Kwanza
 
Homeboy Fidel na Masa...wanajifanya watalii tu kny hii thread tangia juzi........ha!ha!ha!ha!aaaaaa!
 
Mashabiki wa Kandambili a.k.a yeboyebo waliamua kumalizia hasira zao kwenye masinki ya kunawia msalani. Picha kutoka michuzi blog

Mashabiki wa Kandambili a.k.a yeboyebo waliamua kumalizia hasira zao kwenye masinki ya kunawia msalani. Picha kutoka michuzi blog

Duh .. njano njano tu hadi mkojo wao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…