Simba na Yanga waacheni wachezaji (wazawa) wakatafute changamoto nyingine kuliko kukaa nao msimu mzima bila ya kuwachezesha

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Huwa nasikitika sana kumuona Gadiel Michael pale simba, akipewa kazi ya kwenda kufukia hirizi kwenye viwanja na kupelekea kupata tuhuma na kufungiwa na TFF.

Lakini suala la kupata namba pale limekua ngumu, hakuna asiyemtambua huyu mchezaji uwezo wake uwanjani, alikiwasha sana kipindi yupo yanga lakini Sasa yupo benchi akiwatazama wenzie huku talanta yake inashuka.

Matumizi ya Ngushi yapo wapi pale yanga, huyu bwana mdogo alionyesha kipaji sana kutoka kwenye timu yake aliyotoka mpaka yanga wakamsajili lakini sasa yupo benchi kawa mpenzi mtazamaji lakini angekua huko alikotoka naimani kabisa angefanya makubwa.

Habibu kyombo, huyu alitoka mbeya kwanza kuja Simba sc, huyu bwana mdogo ana talanta kiukweli ulihitajika muda zaidi kucheza timu zingine ndiyo angeenda Simba sc, lakini Sasa yupo mbao ndefu anapata namba kwenye mechi za kirafiki.

Yusuph athumani huyu ni namba tisa alikuja yanga alikaa benchi mpaka basi lakini bwana mdogo alipokuwa huko kwenye timu yake alikiwasha sana baadae yanga ilimtoa Sasa anapambana kurejesha kiwango huko alipo.

Kiufupi Simba na yanga zinawachukua wachezaji (wazawa) wakiwa na talanta zao kabisa lakini wakija kukaa benchi vijana wanapoteza talanta zao ni wachache sana wanao kuwa endelevu na viwango vyao.

My take timu kongwe (Simba na yanga) zinachangia kwa kiasi kikubwa kuua vipaji vya wachezaji wetu wazawa pale inapowasajili halafu hawapati nafasi ya kucheza.
Hata Abdul sopu angeenda Simba au yanga kipindi kile hakika tusinge msikia Tena.
 
wapo wanaopewa nafasi lakini wanashindwa kuonyeha kile walichokua wakikifanya wakiwa Mbeya city,Kagera sugar n,k.

Wapo wazawa wanaoziomba club wavunje mkataba au wapelekwe kwa mkopo timu zingine wanapoona awapewi nafasi wapo na imeshatokea maranyingi.

ukiona apangwi na bado anaongeza mkataba basi ujue anafurahia mshahara anaoupata tena kwa muda au sifa za kusajiliwa timu kubwa Simba/Yanga.
 
Kuna madogo Yana talent lakini yameng'ang'ania pale hayapewi namba lakini yapo tu.

Kwa namna fulani naweza kukubaliana na wewe lakini inakuaje timu inampa mchezaji mshahara lakini nafasi yake yakucheza ni finyu sana.
 
hao ukute wanamechi zao au wana kazi zao kwenye club,ujue izi club zetu bado zinaamini mambo mengi nje ya uwanja hasa mambo ya giza.

jambo kubwa kwa wachezaji wetu wazawa ni kufungua mipaka nje ya nchi wabongo sisi waoga sana kutoka ipo ivyo.

kocha Julio aliwai kueleza kisa cha mwanasoka flani kutoka Nigeria ambae akua maarufu kabisa ila mpira anaujua.
basi bwana alienda nchi flani za scandnavia kusaka maisha ila focus yake ilikua kwenye soka,akawa anatembelea viwanja vya mpira siku moja alienda kwenye mechi ya ndondo akaomba namba akaapa kabisa atacheza vizuri na watafurahi,basi jamaa akapewa nafasi akakiwasha.kabla mechi aijaisha timu pinzani wakaanza kuulizia namna ya kumpata wakaambiwa hana timu.ile timu aliyochezea jamaa walivyoona anauliziwa na timu pinzani wakaona hii ni mali tusiiache wakamsainisha.

angebaki Nigeria asingepata nafasi ya kucheza soka Ulaya kwenye maslahi na facilieties zote kwa mwanasoka.
 
Fact [emoji3578]
 
Huwa nasikitika sana kumuona Gadiel Michael pale simba, akipewa kazi ya kwenda kufukia hirizi kwenye viwanja na kupelekea kupata tuhuma na kufungiwa na TFF.

Lakini suala la kupata namba pale limekua ngumu, hakuna asiyemtambua huyu mchezaji uwezo wake uwanjani, alikiwasha sana kipindi yupo yanga lakini Sasa yupo benchi akiwatazama wenzie huku talanta yake inashuka.

Matumizi ya Ngushi yapo wapi pale yanga, huyu bwana mdogo alionyesha kipaji sana kutoka kwenye timu yake aliyotoka mpaka yanga wakamsajili lakini sasa yupo benchi kawa mpenzi mtazamaji lakini angekua huko alikotoka naimani kabisa angefanya makubwa.

Habibu kyombo, huyu alitoka mbeya kwanza kuja Simba sc, huyu bwana mdogo ana talanta kiukweli ulihitajika muda zaidi kucheza timu zingine ndiyo angeenda Simba sc, lakini Sasa yupo mbao ndefu anapata namba kwenye mechi za kirafiki.

Yusuph athumani huyu ni namba tisa alikuja yanga alikaa benchi mpaka basi lakini bwana mdogo alipokuwa huko kwenye timu yake alikiwasha sana baadae yanga ilimtoa Sasa anapambana kurejesha kiwango huko alipo.

Kiufupi Simba na yanga zinawachukua wachezaji (wazawa) wakiwa na talanta zao kabisa lakini wakija kukaa benchi vijana wanapoteza talanta zao ni wachache sana wanao kuwa endelevu na viwango vyao.

My take timu kongwe (Simba na yanga) zinachangia kwa kiasi kikubwa kuua vipaji vya wachezaji wetu wazawa pale inapowasajili halafu hawapati nafasi ya kucheza.
Hata Abdul sopu angeenda Simba au yanga kipindi kile hakika tusinge msikia Tena.
Pointless,
Vilabu siyo Orphanage , vilabu vina gharama kubwa kuendesha. Simba na Yanga ni kama Real au Bayern. Presha ya matokeo ni kubwa hasabtoka kwa mashabiki.

Usitegemee klabu ikuvumilie mpaka upate kiwango, Kuna players peesha ya timu inawashinda kuliko akiwa Mbeya City.

Watakaa bwnchi tu , mambo ya uzawa nia Natioonal team. Watu wamewekeza pesa , acheni Polymilai.
 
Kama wamewekeza pesa kwa Nini wanawachukua hao wachezaji wazawa nakuwaweka benchi muda wote

Wasajili hao wanaohisi kwamba wanaendana na presha gadiel Michael yupo pale simba kwa muda gani.???

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Gadiel na Ajib walisajiliwa SeMBe kuikomoa Uto kipindi kile cha Bakuli.
Hata Kalokonya mzozo wake na Uto wa kuigomea timu una harufu ya huko huko.
Hivyo baadhi ya wakati mchezaji huwa anasajiliwa sio kwa kuwa anahitajika Sana.
 
Huwa nasikitika sana kumuona Gadiel Michael pale simba, akipewa kazi ya kwenda kufukia hirizi kwenye viwanja na kupelekea kupata tuhuma na kufungiwa na TFF.

Lakini suala la kupata namba pale limekua ngumu, hakuna asiyemtambua huyu mchezaji uwezo wake uwanjani, alikiwasha sana kipindi yupo yanga lakini Sasa yupo benchi akiwatazama wenzie huku talanta yake inashuka.

Matumizi ya Ngushi yapo wapi pale yanga, huyu bwana mdogo alionyesha kipaji sana kutoka kwenye timu yake aliyotoka mpaka yanga wakamsajili lakini sasa yupo benchi kawa mpenzi mtazamaji lakini angekua huko alikotoka naimani kabisa angefanya makubwa.

Habibu kyombo, huyu alitoka mbeya kwanza kuja Simba sc, huyu bwana mdogo ana talanta kiukweli ulihitajika muda zaidi kucheza timu zingine ndiyo angeenda Simba sc, lakini Sasa yupo mbao ndefu anapata namba kwenye mechi za kirafiki.

Yusuph athumani huyu ni namba tisa alikuja yanga alikaa benchi mpaka basi lakini bwana mdogo alipokuwa huko kwenye timu yake alikiwasha sana baadae yanga ilimtoa Sasa anapambana kurejesha kiwango huko alipo.

Kiufupi Simba na yanga zinawachukua wachezaji (wazawa) wakiwa na talanta zao kabisa lakini wakija kukaa benchi vijana wanapoteza talanta zao ni wachache sana wanao kuwa endelevu na viwango vyao.

My take timu kongwe (Simba na yanga) zinachangia kwa kiasi kikubwa kuua vipaji vya wachezaji wetu wazawa pale inapowasajili halafu hawapati nafasi ya kucheza.
Hata Abdul sopu angeenda Simba au yanga kipindi kile hakika tusinge msikia Tena.
hawawezi kuondoka kwakuwa wanalipwa vizuri yanga na simba kuliko huko kwingine
 
Gadiel na Ajib walisajiliwa SeMBe kuikomoa Uto kipindi kile cha Bakuli.
Hata Kalokonya mzozo wake na Uto wa kuigomea timu una harufu ya huko huko.
Hivyo baadhi ya wakati mchezaji huwa anasajiliwa sio kwa kuwa anahitajika Sana.
Bila malalamiko maisha yenu huwa hayaendi mpo kama watoto was kambo utopolo nyie.
 
Back
Top Bottom