Nimewaza sana kuhusu vilabu vyetu vya tanzania ila jibu sijapata bado. Ukiafuatilia vizuri soka la Tanzania mara nyingi hakuna luxury kbsa zaidi tu mashabiki wanalaumu wachezaji au kocha wa kilabu husika.
Hivi natuna watanzania ambao wanaoweza kucheza mpira vizur au usajili wetu unakwama wapi mbona tukiwa away tunaonekana kama kituko wachezaji wanapoteana hadi tunaomba mechi iishe.
Naomba tujadili wana jamii tunakwama wapi?