Hahaha wa matopeni bana Kama ile mlo cheze na ud songo ilinivutia kweli kwelisema hivi: timu yenu vyura fc wanakwama wapi. Wenzenu simba tulishalijua hillo muda mrefu sana. Sshv tumeanza kupiga hatua na ndo maana simba ikicheza inavutia wengi hata majirani wanapenda kuangalia match za Simba
sema hivi: timu yenu vyura fc wanakwama wapi. Wenzenu simba tulishalijua hillo muda mrefu sana. Sshv tumeanza kupiga hatua na ndo maana simba ikicheza inavutia wengi hata majirani wanapenda kuangalia match za Simba
Nyie vyura hamjui style ya mpira kucheza ugenini,(subiri kitakachowakuta huko kwa makilikili) wengi wanadhani simba ilicheza chini ya kiwango kule msumbiji hakika mnajidaganya, dhamira ya simba kutoa draw ilifanikiwa kwa kiwango kikubwa: angalia TP mazembe, Ismail na Al ahal za mistri zikija bongo tunazigeuzageuza kama samaki wa kuokwa wanaonekana kucheza kawaida lkn lengo ni kutaka lango lisiguswe ili watoe draw halafu ukienda kwao chamoto utakiona.(kama itakavyokuwa kwa u do songo). hiyo ndo style ya kucheza ugenini ambazo hufanywa na timu zinazojitambua na zenye malengo kama simba.. mgekuwa vyura mgejitutumua kutaka kufunga bila kutumia akili at the end mgefuliwa malindaHahaha wa matopeni bana Kama ile mlo cheze na ud songo ilinivutia kweli kweli
Hamsa hamsa mnazokula ugenini..timu inacheza kama under 15...hivi mikia mmewahi kupata goli dk 90 Misri
Nyie vyura hamjui style ya mpira kucheza ugenini,(subiri kitakachowakuta huko kwa makilikili) wengi wanadhani simba ilicheza chini ya kiwango kule msumbiji hakika mnajidaganya, dhamira ya simba kutoa draw ilifanikiwa kwa kiwango kikubwa: angalia TP mazembe, Ismail na Al ahal za mistri zikija bongo tunazigeuzageuza kama samaki wa kuokwa wanaonekana kucheza kawaida lkn lengo ni kutaka lango lisiguswe ili watoe draw halafu ukienda kwao chamoto utakiona.(kama itakavyokuwa kwa u do songo). hiyo ndo style ya kucheza ugenini ambazo hufanywa na timu zinazojitambua na zenye malengo kama simba.. mgekuwa vyura mgejitutumua kutaka kufunga bila kutumia akili at the end mgefuliwa malinda
.