Simba na Yanga zitaanzia hatua ya awali kwenye Ligi ya Mabingwa Africa msimu ujao 2022/23

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Hii ni habari njema sana kwa soka la Tanzania.

Simba na Yanga zitaanzia hatua ya awali kwenye Ligi ya Mabingwa Africa msimu ujao 2022/23.

Here is the right news only.
 
Hatua ya awali ndio waliyoanzia simba mwaka jana?
 
Mnapenda sana jilinganisha nasi
 
Bona hizi taarifa uto au utelembwe wanazifurahia sana
 
Hata kama zote zitaanzia hatua ya awali, Yanga itaondolewa mapema. Simba msimu huu anaweza tinga nusu fainali au fainali kabisa.
 
faida kwa Simba ni kuanzia away.
Anaanza na PETRO DU LUANDA. hao jamaa hawajua uwanja wa nyumbani wala ugenini, unaambiwa hao jamaa kazi yao ni kuangalia uwanja na mpira, yaan wakiona nyasi za uwanja basi wanakiwasha mwanzao mwisho. Waulize MAMELODI
 
Wee acha uongo wako, ratiba bado haijatoka. Wee umetoa wapi hizi taarifa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…