Kumbe mavi yanagonga CHUPI eeh??Wee acha uongo wako, ratiba bado haijatoka. Wee umetoa wapi hizi taarifa???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ndo uandike kitu kisichokuwepo?? Jana ukasema simba na primere de Agosto, leo na Petro de Luanda,Kumbe mavi yanagonga CHUPI eeh??
Sijawahi itaja Agosto, angalia vizuri nimesema PETRO LUANDA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ndo uandike kitu kisichokuwepo?? Jana ukasema simba na primere de Agosto, leo na Petro de Luanda,
Basi utashangaa hatukutan na team kutoka Angola. Waza Yanga atakutana na nani?? Simba sie wala hatuwazi yeyote tunaruka nae tyuuh.
Yaan wee huwa unakurupukaga vibaya lolSijawahi itaja Agosto, angalia vizuri nimesema PETRO LUANDA
Yemekua hayo tena nyie si mlisema level yenu kina Al Ahly imekuaje tena mbona ghafla sanaSimba hatuna Shaka..tupo Tyr kuanzia hatua yoyote..
Siku hizi wanatuogopa[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]nchi imejaa watabiri fekiHata kama zote zitaanzia hatua ya awali, Yanga itaondolewa mapema. Simba msimu huu anaweza tinga nusu fainali au fainali kabisa.
Baadae ikawaje?Zimetusaidia kuwa kwenye list ya best top 15 football clubs in Africa..Simba ipo pale inaiwakilisha Tz na east Africa
Kwa timu gani mkuu? Hii yenye mzungu striker?Hata kama zote zitaanzia hatua ya awali, Yanga itaondolewa mapema. Simba msimu huu anaweza tinga nusu fainali au fainali kabisa.
Onesha hiyo sehemu nimetaja AGOSTOYaan wee huwa unakurupukaga vibaya lol
Ngoja nitatafuta uzi wake.Onesha hiyo sehemu nimetaja AGOSTO
Ukiupata njoo DM na namba yako ya Simu nakuwekea 50KNgoja nitatafuta uzi wake.
Wee subiri tyuuh. Kuwa mpoleee nautafutaUkiupata njoo DM na namba yako ya Simu nakuwekea 50K
Huwezi nipata mkuu, najua nachokwambia mm nimesema PETRO DU LUANDAWee subiri tyuuh. Kuwa mpoleee nautafuta
labda fainali ya Ndondo cup.Hata kama zote zitaanzia hatua ya awali, Yanga itaondolewa mapema. Simba msimu huu anaweza tinga nusu fainali au fainali kabisa.
US Dong wanawataka tena.Afu Uto watuaibishe tena kama msimu uliopita.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si uwe mpoleee.Huwezi nipata mkuu, najua nachokwambia mm nimesema PETRO DU LUANDA
Comment chini ya 50 na umeshindwa kupata?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si uwe mpoleee.
Sio uzi huyu ni mwingne bhana, wee ngoja tyuuh.Comment chini ya 50 na umeshindwa kupata?? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]