NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Ukiwa kocha wa kimataifa ukapata kibarua cha kuzinoa timu hizo,wakati unamuaga mkeo na familia usiwaambie umepata kazi.Bali waambie nimepata kimpango cha kwenda kusimamia vyoo viwili vya soka Tanzania.wasalaam