NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Hizo timu hazijielewi nambie tatizo LA masud djuma mkuu.Acha fujo
MajunguHizo timu hazijielewi nambie tatizo LA masud djuma mkuu.
lakini haya mambo mkuu hutokea mara kwa mara kwa hizi klabu,kwani nyakati zote masudi alikuwepo?Majungu
sisi sijui kwa nini tunafanya mambo kiswahili kila mahali tuna matatizo.Kila kocha hupenda kuwa juu ya mwingine,,,majungu lazima Ila kwa bwana Masoud wamepoteza sana watani zangu
mkuu inaweza kuwa kweli lakini kwani kila mara tunafukuza makocha tena pasi na sababu za msingi.wote yanga na simbaSimba wachezaji wenu wazee..hawawezi back to back..vikongwe
Ukifuatilia vizuri mtiririko (trend) ya kufukuza makocha Simba wamemzidi kwa mbali Yanga, ingawa tabia hiyo ni ya timu zote 2. Ila katika miaka ya karibuni Simba kazidi!!!mkuu inaweza kuwa kweli lakini kwani kila mara tunafukuza makocha tena pasi na sababu za msingi.wote yanga na simba
Shida ni kwamba upele ni upele tu bila kujali upele mkubwa wala mdogo.Je tatizo hasa ni nini au ni njia ya watu kupata asilimia kumi.Ukifuatilia vizuri mtiririko (trend) ya kufukuza makocha Simba wamemzidi kwa mbali Yanga, ingawa tabia hiyo ni ya timu zote 2. Ila katika miaka ya karibuni Simba kazidi!!!
Ha ha ha watu watamlaumu haji utadhani anacheza namba sita dimbani.[emoji23][emoji23][emoji23]watani nendeni FIFA aiwezekan mbao wawafunge
Utakuwa mkia weweUkiwa kocha wa kimataifa ukapata kibarua cha kuzinoa timu hizo,wakati unamuaga mkeo na familia usiwaambie umepata kazi.Bali waambie nimepata kimpango cha kwenda kusimamia vyoo viwili vya soka Tanzania.wasalaam
mwanaume lazima awe na mkia japo haukai nyuma,anyway mkuu natania ila klabu zetu zina matatizo.mkia damuUtakuwa mkia wewe