Simba naomba mumpige goli 4 tu Chura FC!

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,385
Reaction score
10,659
Kwanza niwahongere wana Simba kwa kutupa raha! Wachezaji na wapenzi wa Simba mmefanya wandaz!

Sipati picha kama leo tungefungwa 5 tena! Sijui tungelalaje leo, maana vyura majike wangepiga makelele ya kuita machura dume mpaka tungeomba poo!!

Naomba, Jumamos pale kwa Mchina tumuadhibu huyu mtani asiye na adabu walau goli nne akajifie na kiu jangwani!! Simba mkacheze mpira wa kuua mtu! Full ufundi, magoli na kukomoa hawa Ndala FC aka Yeboyebo!!

Dawa ya mtoto asiye na adabu ni kumchakaza bakora za kutosha!!!

Viva Simba, viva wanasimba! Viva mfalme wa nyika!!

Griiiiiiiiiii!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwiny zahera analalamikia washabiki wa yanga hawataki kuchangia ila wamekuwa msitari wa mbele kulipia mechi za simba ingawa ukweli kinachowavuta mashabiki wa vyura ni maufundi ya wachezaji wa simba kina Okwi, Chama na wengineo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…