Simba ndio timu yenye Mashabiki wengi Tanzania

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,210
Reaction score
4,175
Ukweli mchungu. Ila mwenye macho haambiwi tazama. Mikoani. Dar kila maali ni simba brother.

kama nimfuatiliaji mzuri wa mechi utagundua simba ndio tim yenye washabiki wengi bara na visiwani. Ukirejea tamasha la simba day. Mechi ya mbambane. Nkana. Js soura. Elliy haly na leo watani. Utagundua wingi wa mashabiki ni wa simba.

hivyo nawashauri viongozi wa simba kutumia fursa hii kuifanya simba iwe bora kabisa africa na dunia kwa ujumla. Mashabiki wengi ni fursa nzuri kama ikitumiwa vizuri.
 
hivi kwanini % kubwa ya Waislamu ni mashabiki wa Simba?
 
Mabingwa wa soka Tanzania, Simba ndiyo timu iliyoingiza fedha nyingi zaidi katika viingilio vya mlangoni wakati wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2017-18.

Katika mechi 30 ilizocheza, Simba imefanikiwa kuingiza kitita cha Sh milioni 380.8 ikifuatiwa na Yanga yenye milioni 257.2.

Hata hivyo, pamoja na fedha hizo ambazo wanaonekana kuingiza watani hao kwa msimu mzima, inaonyesha mapato ya mlangoni yameporomoka kwa kiasi kikubwa sana.

Kama utagawanya kwa mzunguko mmoja wa mechi 15, maana yake Simba iliingiza Sh milioni 190 tu ambacho ni kiwango cha chini zaidi.

MAPATO YA MLANGONI LIGI KUU BARA 2017-18
1. Simba 380,867,592
2. Yanga 257,113,365

Timu ya Simba Yaongoza kwa Mapato Mlangoni - MUUNGWANA BLOG
 
Shida inaanza pale mtoto yupo mdogo anapitia taabu kweli kiasi cha kuichukia Ccm [emoji23][emoji23][emoji23].. akija kwenye mpira yanga rangi zao kama Ccm mtoto anakua anashabikia Simba [emoji881][emoji881][emoji881][emoji881].
Inasemekana mwaka 2050 Robo tatu ya waTz watakuwa Washabiki wa Simba [emoji881][emoji881]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…