Simba ndio timu yenye Mashabiki wengi Tanzania

Mimi ni mshabiki wa Simba ila swala la Simba kuwa wengi kupita Yanga nalikataa.

Simba tunaweza kuonekana wengi sasa hivi kwa sababu ya ubora wa timu, ila kiidadi vyura ni wengi aisee.
Wew ndo shabiki pekee wa Simba mwenye akili.
Yanga hamasa tunajua ndogo kutokana na hali ya timu.
Hivi Yanga ya 2015/2016 Yanga walikuwa wanajaa uwanjani.
Kama Yanga vs TP Mazembe watu wangesema Yanga ni wengi kuliko Simba?
Realistically, timu zote zina watu, ila kwa kusema ni wangapi au timu flani bila takwimu. Ni ushabiki wa Kijinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True, mara nyingi upepo huwa unategemea na stability ya timu kwa kipindi husika.
 
Kiongozi, huo ndiyo mpira wa Bongo. Timu ikiwa vizuri utawaona mashabiki uwanjani na kujinasibu mitaani.
 
Mimi ni mshabiki wa Simba ila swala la Simba kuwa wengi kupita Yanga nalikataa.

Simba tunaweza kuonekana wengi sasa hivi kwa sababu ya ubora wa timu, ila kiidadi vyura ni wengi aisee.
Ni nadra kukuta watu objective kama wewe. Huo ndiyo ukweli wenyewe. Mimi ni Yanga lakini najua kipindi hiki, Simba ipo vizuri Kuliko Yanga.
Draw kwa Yanga ingekuwa positive result kwa Yanga.
 
Simba ndo yenye mashabiki wengi, ukiacha uwanjani fanya research kwenye vibanda umiza, utagundua, hata kwenye mauzo ya jezi tuu, pita mitaani uone ni jezi gani zinavaliwa sana utakuta ni za simba kwa hapa bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ni perception zako tu. Wana Yanga wana perception Kama hizo kwa timu yao.
Wauza magazeti wanayo ya kwao pia. Wakati gani magazeti huuzwa zaidi? Yanga au Simba ikishinda?
 
Ni nadra kukuta watu objective kama wewe. Huo ndiyo ukweli wenyewe. Mimi ni Yanga lakini najua kipindi hiki, Simba ipo vizuri Kuliko Yanga.
Draw kwa Yanga ingekuwa positive result kwa Yanga.

Washabiki wa mpira walio wengi tuna sleeping culture pale timu tunazoshabikia zinapokuwa hazifanyi vizuri. Mfano Simba kipindi cha Yanga wana Manji usingeniona naenda uwanjani kuangalia game yetu vs Yanga.

Chukulia mfano tu hata kwa timu za Ulaya, miaka ya nyuma usingeenda kwenye banda umiza usikutane na watu zaidi ya 10 wamevaa jezi za Man Utd, leo hii unaweza kukaa hata mwezi hujaona watu zaidi ya 5 wakiwa na hiyo jezi.

Ushabiki ni kama upepo, muda ukifika utawaona tu. Natamani kuona hizi timu zikiwa na financial muscles sawa ili tuone itakuwaje, na twende international level wote.
 
Umeongea vizuri sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku tukiwa international level itakuwa maendeleo makubwa. Just imagine kila timu iwe kundi lake.
Kuhusu upepo wa timu moja kuwa juu ndiyo halisi ya mpira wetu. Ukiwa juu, mashabiki hujitokeza kwa wingi.
 
Mimi shabiki wa simba haswaaa!! toka zamani nikiwa mdogo had nafikisha miaka yangu 40 ni kwamba popote pale ulikuwa ukienda mashabiki wa yanga walionekana wengi zaidi ya simba, japo hata sshvi bado ni wengi ila sio kama zamani. Ina maanisha kwamba kadri Siku zinavyosogea mashaibiki wa simba wanaongezeka zaidi ya mashabiki wa yanga na usishangae baada ya miaka kadhaa mbele idadi ikawa sawa au hata simba kuizidi yanga kwa mashabiki. Hii no kutokana na kwamba yanga kwa miaka ya karibuni imepoteza mvuto kutokana na kukosa uongozi madhubuti na kuifanya timu ikakosa fedha za kusajili wachezaji wazuri wanaokivutia kizazi kipya.
Mfano ukienda kwanye match za mchangani ukawakuta watoto wanacheza mpira huwezi ukamwona mtoto anajiita ngasa au makambo aache kujiita Okwi au Kagere.
 
Siku tukiwa international level itakuwa maendeleo makubwa. Just imagine kila timu iwe kundi lake.
Kuhusu upepo wa timu moja kuwa juu ndiyo halisi ya mpira wetu. Ukiwa juu, mashabiki hujitokeza kwa wingi.

Natamani tufikie level hizo, angalau hata moja ikiwa Confederation Cup nyingine Champions League na zote ziwe zinakimbiza itakuwa poa sana.

Hata kama mnazomeana inakuwa kwa shangwe hakuna mnyonge.
 
Exactly, hiki hata mimi ndo nakiona.
 
Simba imejaza watu kutoka mikoani..kwenda Taifa kwao outing..wasikilize accents zao...
 
Hizo ni perception zako tu. Wana Yanga wana perception Kama hizo kwa timu yao.
Wauza magazeti wanayo ya kwao pia. Wakati gani magazeti huuzwa zaidi? Yanga au Simba ikishinda?
Yanga waliingia mkataba na Bank ya Posta account 8 m zilifunguliwa..Mikia hamna ushahidi..kujaza uwanja wa Taifa ni watu 60,000 tu..wakati Dar ina wakazi 7 m
 
Yanga waliingia mkataba na Bank ya Posta account 8 m zilifunguliwa..Mikia hamna ushahidi..kujaza uwanja wa Taifa ni watu 60,000 tu..wakati Dar ina wakazi 7 m
Mkuu, mbona kuna fursa kubwa hapo?
Hao million 8 kwa ada ya Shs 12,000 kwa mwaka ni fedha ya maana. Billion 96! Hata wakitoa robo yake tu ni billion 24. Kuna sehemu tumelala.
 
Ukweli ndio huo mkuu... Yanga ni wengi mnoooo... Ukitaka kujua hilo.... Nenda penye kundi la watu kumi uliza Yanga na Simba ni wangapi, utagundua Yanga ni wengi mnooo
Mimi ni mshabiki wa Simba ila swala la Simba kuwa wengi kupita Yanga nalikataa.

Simba tunaweza kuonekana wengi sasa hivi kwa sababu ya ubora wa timu, ila kiidadi vyura ni wengi aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…