Theostar66
New Member
- Jan 17, 2020
- 2
- 0
Sasa kuna maana gani ya kuwa mshahiki kivuli?Ki idadi kwa maana ya nchi nzima Yanga ina mashabik weng ila Mashabiki wa simba wanaongoza kwenda uwanjan kushangalia team yao sio dar tu mpka mikoani.
Acha uongo,mashabiki wa Simba wakati hamna hela mnasingizia kukuza vijana kina na miaka mi4 bila ubingwa mlikuwa mnaenda viwanjani?Sasa Unajuaje yanga wapo wengi kuliko simba? Kipimo pekee kwa Sasa ni uwanjani na hata simba wanapofanya vibaya mashabiki wake tunawaona uwanjani.
Washabiki wa Simba walikuwa hawaendi uwanjani hata mmoja.Acha uongo,mashabiki wa Simba wakati hamna hela mnasingizia kukuza vijana kina na miaka mi4 bila ubingwa mlikuwa mnaenda viwanjani?