Simba ni bingwa wa viporo duniani

Simba ni bingwa wa viporo duniani

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Haijawahi kutokea katika ligi yoyote duniani nchi kuwa na mechi za viporo kama ilivyotokea kwa Simba SC ya Tanzania.

TFF wanastahili pongezi kwa kutuingiza katika kitabu cha Maajabu ya Dunia.

CCM hoyeee........! Karia hoyeee....... MO hoyeee......!

Maendeleo hayana vyama!
 
Tangu watolewe na Mashujaa band kwenye kombe la shirikisho la Azam, tff imekuwa nao bega kwa bega kuhakikisha wanakuwa mabingwa wa ligi! Kwa bahati mbaya timu ya wananchi haikati tamaa ingawa inatengenezewa misukosuko na figisu za kila aina.
 
Timu ya ombaomba ile sio wananchi.

Wananchi wakiambiwa jengeni shule wanajenga sasa nyie mbona mnahaha
 
Haijawahi kutokea katika ligi yoyote duniani nchi kuwa na mechi za viporo kama ilivyotokea kwa Simba SC ya Tanzania.

TFF wanastahili pongezi kwa kutuingiza katika kitabu cha Maajabu ya Dunia.

CCM hoyeee........! Karia hoyeee....... MO hoyeee......!

Maendeleo hayana vyama!
John wewe ni dhaifu wa kumbukumbu
 
Haijawahi tokea kokote duniani timu kucheza mechi nane mfululizo katika uwanja wa nyumbani
 
Back
Top Bottom