johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Timu ya ombaomba ile sio wananchi.Tangu watolewe na Mashujaa band kwenye kombe la shirikisho la Azam, tff imekuwa nao bega kwa bega kuhakikisha wanakuwa mabingwa wa ligi! Kwa bahati mbaya timu ya wananchi haikati tamaa ingawa inatengenezewa misukosuko na figisu za kila aina.
John wewe ni dhaifu wa kumbukumbuHaijawahi kutokea katika ligi yoyote duniani nchi kuwa na mechi za viporo kama ilivyotokea kwa Simba SC ya Tanzania.
TFF wanastahili pongezi kwa kutuingiza katika kitabu cha Maajabu ya Dunia.
CCM hoyeee........! Karia hoyeee....... MO hoyeee......!
Maendeleo hayana vyama!