Simba ni klabu inayoendeshwa kienyeji na kiujanja, hilo inabidi tukubali wazi

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Wanabodi,

Kwanza niwapongeze yanga kubeba ubingwa wao, ubingwa mtamu.

Pili twende kwenye mada yenyewe.

Hii klabu inayoitwa simba kiukweli kabisa ilistahili kushuka daraja msimu huu wazi wazi.

Sababu ya kwanza ni uongozi wao mbovu sana, klabu inamilikiwa na muhindi yule kisha anakachukua kamchepuko chake kwejye kampuni zake halafu anakaweka kwenye team kaiongoze as a CEO! What a risk.!

Kudhihirisha hilo ni namna uongozi wote ukiongozwa na dada huyu ulivyohandle maswala mbalimbali tuanze na usajiri.

Walitimua kocha kisha msimu ukiwa unaendelea wakaleta kocha ambaye wanadai alikuwa msaidizi wa zidane pale Bernabeu.

Ina maana management ya team inashindwa kujua hata cv ya mtu halisi ni ipi? Obviously walikurupuka kama walevi wa wanzuki kwa mama suzi pale kimboka, kuona jamaa anatoka spain.wachache tulijua kitakachotokea.

Halafu kichekesho zaidi kabosi aka mchepuko kakamtimua jamaa wakati ligi hata bado haijaisha ingawa ilionekana wazi kuwa aslimia chache za kuchukua kombe tangu mwanzo wa ligi team ilishajifia mkononi mwao..

Tunajua wazi mchepuko huyo na viongozi wengine hewa akina magori na wenzie waliingia tamaa kuuza wachezaji ambao hawana replacement yao muda huo, na hela muhindi mwenyewe akazitia mfukoni kwenda kulipa mishahara kule kiwandani kwake..what a shame.!

Uongozi ukaanza kuokota okota wachezaji hovyo wakawa na muhaho,wakabeba kale kajamaa pale Senegal kalikuwa mtaani madam CEO yeye anajua kila Msenegal anajua mpira bwana, aliskia hayo kwa wenzie..!

Akaenda mpaka Zanzibar kubeba yule kijana mla urojo sijui swamadu sijui ahmada ambaye maskini hakupewa hata nafasi kijana wa watu.. sasa katolewa kwa mkopo eti.

Kuna yule maria roza kutoka huko west Afrika nae akaletwa, alikutwa mtaani tu anacheza cheza madam ceo akampenda jamaa kasinya saini basi anakula mshahara wa bure tu pale, si ndo jalala la kula hela pale?

Kuna yule mkongoman mtafuna big g alitakiwa atemwe mapema sasa uongozi huo uchwara hapo simba wakaanza kubishana, madam CEO anamtaka jamaa maana tunaskia jamaa anamfikisha madam kunako akaona chakula yake isiende mbali asitemwe..
Hawa ni viongozi au walevi?

Kuna yule pep guardiola mvuta sigara matola yeye miaka nenda yupo lakini makocha hufukuzwa, jamaa ni kocha huku dalali wa chini chini mzee kamisheni,

Tujiulize kwanza kuhusu wavaa hereni kina nyoni kwanini hawatemwi? Jibu ushajua tayari..

Kiufupi hii team imebaki kufa tu haina namna nyingine,
Mudi naye hataki kutoa pesa ameona anapigwa na wajanja hapo ndani..
Wachezaji njaa kali ndo maana yule jamaa madevu karudi kwao baada ya kuwapiga hela kibwena hao maboya na kasepa zake..!

Mechi zenyewe unakuta alikuwa anacheza chache mara moja moja.

Simba hakuna management bali ni kikao cha walevi kilabuni tu walitakiwa kushuka daraja badala ya mbeya kwanza..
 
Ndugu wakigombana chukuwa jembe ukalime sisi tupo Salamander Tunashangilia ubigwa wetu, nyie zodoaneni mkimaliza utakuta ligi ipo round ya pili
 
Yaani logic na thinking yako ni very diluted mpaka inashangaza..!

Na wivu uliokuwa nao kwa CEO Barbra, lazima kuna shida mahala yaani.
Sio kosa langu wewe kuwa na kichefuchefu kusikia hayo,

Wewe kula limao tu wewe punguani bambukicha
 
Ndugu wakigombana chukuwa jembe ukalime sisi tupo Salamander Tunashangilia ubigwa wetu, nyie zodoaneni mkimaliza utakuta ligi ipo round ya pili
Si tulikubaliana kombe ni baya?
 
Huo wivu kwa Barbra utakuua mbona wanaume ni wengi tu.

Yaani unaadika gazeti kubwa kisa Barbra na MO.
Imekutouch sana wewe wali nazi?
Kazi yangu ni kufichua maovu yote hata yako pia ya kugeuzwa chakula au tuyataje?
 
Imekutouch sana wewe wali nazi?
Kazi yangu ni kufichua maovu yote hata yako pia ya kugeuzwa chakula au tuyataje?
Yaani umeandika gazeti la wivu kwa Barbra kuona kama anafaidi halafu unasema kufichua maovu?

Acha wivu, kama CEO anafaidi nenda wewe sasa.[emoji16]
 
Yaani umeandika gazeti la wivu kwa Barbra kuona kama anafaidi halafu unasema kufichua maovu?

Acha wivu, kama CEO anafaidi nenda wewe sasa.[emoji16]
kumbe yote niliyosema ni ya ukweli eeh daah 😂

Pole aunty
 
Wanabodi
Kwanza niwapongeze yanga kubeba ubingwa wao, ubingwa mtamu...
Nenda kwanza Chuo cha kujifunza kujenga hoja make wewe ni mweupe mno, na kama uliwahi soma basi rudi kule uliko soma waambie wakurudishie ada yako make hakuna ulicho jifunza
 
kumbe yote niliyosema ni ya ukweli eeh daah [emoji23]

Pole aunty
Unaenda saa ngapi kuchukua nafasi ya CEO pale Msimbazi, maana si kwa wivu huo..!

Wewe sijui ilikuwaje ukawa humo JF
 
Nenda kwanza Chuo cha kujifunza kujenga hoja make wewe ni mweupe mno, na kama uliwahi soma basi rudi kule uliko soma waambie wakurudishie ada yako make hakuna ulicho jifunza
Mkuu BLACK MOVEMENT Huyu Jamaa hana ubongo wa kawaida ambao binadamu wengine tunao.

Ndo maana style yake ya uandishi ni udaku mno, ambapo mwenye akili timamu hawezi kufanya haya, ni wale wanaohitaji vidonge vya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…