ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Hawa Mwakarobo x 4, aka Kilo moja ni katimu kamoja kadogo, na kanachojifanya ni katimu ka kimataifa.
Hii Timu ya Simba inatumia kivuli Cha Robo fainali nne kujiita wao wakubwa, kiuhalisia Simba imefuzu au kupita hatua za Makundi mara nne , wakati mwingine ikiwa ya pili au ya kwanza na kuishia hapo hapo, ni tuseme Simba mara zote inaishia Makundi tu.
Simba haijawahi kupenya katika mechi za mtoano, hawana mbinu ya kuzicheza mechi za mtoano, Simba anaweza mechi za Makundi tu, stage ya Makundi ikiisha na biashara yao imeisha.
Simba wajifunze Kwa yanga kucheza mechi za knockout, Wala haikupaswa kuitwa robo fainali ulitakiwa tuseme hatua ya mtoano ambayo Simba hajawahi kuweza.
Amebaki Kusema timu zinazotutoa zinaenda fainali au kuchukua kombe, hio inakusaidia Nini Mangungu Utd, jifunzeni Kwa Yanga.
Naiona Yanga ikichukua kombe ya Mabingwa Mwakani kwakuwa wanajua kucheza mechi za mtoano