Simba ni sikio la kufa,ujinga ule ule wa miaka yote kuhusiana na usajili naona ndio unaendelea

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,333
Reaction score
5,845
Hakika hii timu sasa itakuwa kama Namungo.

Huwezi kutengeneza kamati ya usajili ya kipuuzi kabisa na mtu wa hovyo mali ya utopolo ngungu boy akiwemo.
Kamati hii huenda ndiyo inayokwamisha upatikanaji wa wachezaji bora na wanaishia kwa wapinzani.

Huwezi kusajili kwa vikao kama kamati za kugawa viwanja wakati unaona wenzenu wakitumia mtu mmoja tu kusaka wachezaji na kusajili.
 
Ngoja Niwaumize mashabiki wa simba Kidogo
Kama kila kitu kingekuwa sawa kabisa, Simba ingekuwa na wachezaji wafuatao kutoka Yanga.

1. Khalid Aucho.
2.Azizi Ki.
3. Pakome Zizu.
4. Bakari Mwamnyeto.
5. Mudadhiri yahya.

SIMBA INAHITAJI MABADIRIKO MAKUBWA SANA.
 
Nani wa kuleta mabadiliko? Simba ni mali ya watu wachache wasiozidi nane na familia ya Dewji
 
Uko sahihi mkuu
Nakumbuka misimu miwili iliyopita ulipiga sana kelele hapa jukwaani kuhusu makosa kwenye usajiri wa simba lkn watu tulichelewa kukuelewa

Kweli sikio la kufa...... ....
 
Mkuu umechangia shilingi ngapi za usajili?
 
L
 
Napenda sana mnavyovuragana kila kipindi cha usajili,na mwakani hakuna atakaekubali marefa wa mchongo wawape magoli ya *******
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…