Simba ni timu yenye thamani zaidi kuliko timu zote Tanzania

Thamani ya ni nje ya watanzania sio ndani

Misimu 2 yote hawana kombe ya Kigi kuu, shirikisho na hawajui ni lini watapata

Kwa hiyo Tanzania timu ambayo haina Kombe hizo mfululizo ndio inakuwa Timu Bora Tanzania?
 
Makolo mmecharuka haswaaaaa

Alafu mmeacha kuzungumzia actual football kwenye field mnahangaika haswa na mara historia, mara thamani, mara kufika robo fainali, mara sijui nini.

Hebu jadilini uimara wa kikosi cha Simba uwanjani. Hizi siasa za nje ya dimba zinazidi kuwalostisha. Muda unakwenda Sana, mnahitaji kujadili na kuimarisha uwezo wa wachezaji ndani ya uwanja
 
HUNA AKILI.
 
1)Robo final 3 za CAF Champions league
2)Robo final moja ya CAF confederation (a.k.a kombe la ...)

Misimu miwili Zamalek walichukua kombe ligi kuu Misri ila ikaonekana si kitu mbele ya Al Ahly Cairo
 
Thamani ya ni nje ya watanzania sio ndani

Misimu 2 yote hawana kombe ya Kigi kuu, shirikisho na hawajui ni lini watapata

Kwa hiyo Tanzania timu ambayo haina Kombe hizo mfululizo ndio inakuwa Timu Bora Tanzania?
Mkuu Wana kombe la Robo Fainali CL
 
1)Robo final 3 za CAF Champions league
2)Robo final moja ya CAF confederation (a.k.a kombe la ...)

Misimu miwili Zamalek walichukua kombe ligi kuu Misri ila ikaonekana si kitu mbele ya Al Ahly Cairo
Naona hujalisahau kombe lenu la Robo
 
Wana kombe lao la Robo Fainali
 
Naona hujalisahau kombe lenu la Robo
1)Robo final 3 za CAF Champions league
2)Robo final moja ya CAF confederation (a.k.a kombe la ...)

Misimu miwili Zamalek walichukua kombe ligi kuu Misri ila ikaonekana si kitu mbele ya Al Ahly Cairo
Kuna timu fulani mara ya mwisho kuingia makundi Champions league. Ilikuwa ukitoka Dar to Mwanza itabidi uende Kenya kwanza ukatokezee Sirari.
 
Ila utopolo wana vichwa vizito mnoo,, hakuna aliyezungumzia kombe hapo, hiyo ni thamani ya klabu kuna vingi vinavyoipa thamani klabu,, ukiachana na Azizi ki ambaye ni dhahiri mmepigwa hamna mchezaji mwingine yeyote mliyemnunua, mmebakiza kuvizia wachezaji wa AS vita wanaotemwa ndo mnachukua tena mlivyokosa haya mnawaleta kimafungu mna wamwaga hapo utopoloni.
 
Mbona hawa jamaa inafahamika kuwa HAWANAGA AKILI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…