Fene
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 2,824
- 4,447
Najua baada ya matokeo ya leo kauli zenu Wanasimba zitakazotapakaa ni kwamba mtajiandaa kwa msimu ujao, licha ya kua mlisema nguvu zenu mumezielekeza fa[emoji23][emoji23]
Ningeomba niwatoe wasiwasi na kimuhemuhe kuhusu ya msimu ujao na kuwaandaa kisaikolojia kwa wale wana makolo werevu, Young Africans almaarufu Yanga baada ya kuchukua kombe la Caf hapo siku za mbele na kuvizoa hiv vikombe vya uswahilini nbc&fa mwakani shabaa yao itakuwa kuendelea kutawala soka la nyumbani kwa kuvizoa hiv vikombe vidogo vyote na kulileta kombe la klabu bingwa Afrika kwa mara ya kwanza Tanzania
Wana makolo werevu tunawahitaj mje mfurahie ushind wetu J tano
Young Africans we trust the process