mwanakwetuu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 407
- 817
Mshambuliaji huwa inatokea kukaa muda bila kufunga ni suala la mpito 2Kagere aanze kujitathmini sasa.
Uwezo wake unazidi kupungua.
Mechi ya Simba na Azam ya nusu fainali Mapinduzi Cup iliyofanyika tarehe 10/01/2020, amecheza chuni ya kiwango sana.
Nafasi za wazi yeye na kipa beki yupo mbali, anapasia kusikojulikana.
Anakosa penati kwa kupiga kashuti dhaifu kabisa.
Karibu mechi nne sasa hajafunga.
Simba bado tunahitaji Straika wa mwisho wa kiwango cha
Kipre Cheche.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapinduzi mmelala nayo nyuma.Makombe yote lazima simba 2lale nayo mbeleee
Mpaka makombe ya wagangaMakombe yote lazima simba 2lale nayo mbeleee
Labda mbebe hirizi ya Kagere.Simba sasa hivi hatutaki kuacha hata kikombe cha chai tunabeba tu.
Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk