Simba njoeni mjifunze kwa Mamelodi Sundowns jinsi ya kumtindua Al Ahly

Simba njoeni mjifunze kwa Mamelodi Sundowns jinsi ya kumtindua Al Ahly

Kilimbatz

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
4,331
Reaction score
5,865
Mwaka jana mke wetu Al Ahly alitukwepa kwenye CAF CL

Akapata kombe la ndondokela dhidi Wydad

Sasa tunakutana kwenye AFL,mjiandae na muupake kabisa mafuta

Enyi wana simba njoeni mumuone kaka yake na Yanga anavyompiga nje ndani Al Ahly

Tena siyo kwa goli chache,kuanzia tano kwenda juu

Wamekuja wenyewe ghetto

#Mpira Bila ya Mbereko Inawezekana
20231025_090204.jpg
Screenshot_20231024-195512_Chrome.jpg
Screenshot_20231024-195512_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom