Kilimbatz JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 4,331 Reaction score 5,865 Oct 25, 2023 #1 Mwaka jana mke wetu Al Ahly alitukwepa kwenye CAF CL Akapata kombe la ndondokela dhidi Wydad Sasa tunakutana kwenye AFL,mjiandae na muupake kabisa mafuta Enyi wana simba njoeni mumuone kaka yake na Yanga anavyompiga nje ndani Al Ahly Tena siyo kwa goli chache,kuanzia tano kwenda juu Wamekuja wenyewe ghetto #Mpira Bila ya Mbereko Inawezekana
Mwaka jana mke wetu Al Ahly alitukwepa kwenye CAF CL Akapata kombe la ndondokela dhidi Wydad Sasa tunakutana kwenye AFL,mjiandae na muupake kabisa mafuta Enyi wana simba njoeni mumuone kaka yake na Yanga anavyompiga nje ndani Al Ahly Tena siyo kwa goli chache,kuanzia tano kwenda juu Wamekuja wenyewe ghetto #Mpira Bila ya Mbereko Inawezekana