Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Mapema mwaka huu Al Ahly walitukwepa
Na kudondokela wakachukua kombe la CAF CL dhidi ya Wydad
Na jana refa akawa anafanya kila mbinu ili mtukwepe tena kwa kumpa a straight red card beki wetu kisiki M.Mvala ili mpate kamserereko kwa Atletico de Luanda
Mungu si Selemani, tumekutana.
Enyi Simba hebu njoeni mjifunze kwa kaka yake na Yanga jinsi ya kumtindua mwarabu nje ndani
#Mpira Bila ya Mbereko Inawezekana