Hizo mbinu kwa nini usiwafundishe Yanga? Mwenye uhitaji huo ili atoe mwiko ni Utopolo.Mapema mwaka hui Al Ahly walitukwepa
Na kidondokela wakachukua kombe la CAF CL dhidi yaWydad
Na jana refa akawa anafanya kila mbinu ili mtukwepe tena kwa kumpa a straight red card beki wetu kisiki M.Mvala ili mpate kamserereko kwa Atletico de Luanda
Mungu si Selemani,tumekutana
Enyi Simba ebu njoeni mjifunze kwa kaka yake na Yanga jinsi ya kumtindua mwarabu nje ndani
#Mpira Bila ya Mbereko InawezekanaView attachment 2792056View attachment 2792057
Kwani wewe upo South Africa?Simba njoeni mjifunze kwa Mamelodi Sundowns jinsi ya kumtindua Al Ahly