Simba njoeni mjifunze kwa Mamelodi Sundowns jinsi ya kumtindua Al Ahly

Simba njoeni mjifunze kwa Mamelodi Sundowns jinsi ya kumtindua Al Ahly

Kilimbatz

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
4,331
Reaction score
5,865
Mapema mwaka huu Al Ahly walitukwepa

Na kidondokela wakachukua kombe la CAF CL dhidi yaWydad

Na jana refa akawa anafanya kila mbinu ili mtukwepe tena kwa kumpa a straight red card beki wetu kisiki M.Mvala ili mpate kamserereko kwa Atletico de Luanda

Mungu si Selemani,tumekutana

Enyi Simba ebu njoeni mjifunze kwa kaka yake na Yanga jinsi ya kumtindua mwarabu nje ndani

#Mpira Bila ya Mbererko Inawezekana
20231025_090204.jpg
Screenshot_20231024-195512_Chrome.jpg
 
Al Ahly anafahamika duniani, hadi Madrid anamfahanu, Mamelodi ni timu local, haina kombe lolote la kimataifa
 
Al Ahly anafahamika duniani, hadi Madrid anamfahanu, Mamelodi ni timu local, haina kombe lolote la kimataifa
Ila hapa chini si unauona mziki wake

Umaarufu hauchezi uwanjani

Tarehe kumi na tisa siyo mbali
Screenshot_20231025-094909_Chrome.jpg
 
Rais wao mwenyewe alisema alishukuru sana kutopangiwa na mamelody kwenye hatua ya mtoano..anawajua vizuri wale watu hawanaga home wala away kwao ni kazi kazi..
 
Back
Top Bottom