Simba njoeni mjifunze kwa Mamelodi Sundowns jinsi ya kumtindua Al Ahly

Hili kombe ni la nyuma ya meza, alikuwa ameshaaga mashindano kama kawaida yake na akarudishwa kwa makosa ya team pinzani (kikanuni).

Tangu hapo ni mwendo wa robo fainali mpaka leo.!
Kombe alipata na historia ikaandikwa
 
Inamaana miaka yote mamelod hawakuwa wanshiriki CCL?

Weka head to head nani amebeba mataji japo kwa miaka 5 tu nyuma?
 
Inamaana miaka yote mamelod hawakuwa wanshiriki CCL?

Weka head to head nani amebeba mataji japo kwa miaka 5 tu nyuma?
Jadili hoja

Hoja ni nani kafugwa mara nyingi kwa hii miaka ya karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…