Mngoni asiyepiga gambe
Senior Member
- May 4, 2017
- 151
- 318
1.Mussa Camara
Siku mbaya kazini ngumu kumtenga na lawama za goli la 2 la coastal union pengine itampa funzo flani 4/10
2.Shomari Kapombe
Perfomance nzuri kwake hakuwa na baya kubwa ingawa goli la pili lilipitia upande wake huenda angekuwa kwenye nafasi yake angesaidia kuleta presha kwa mfungaji 6/10
3. Moh'd Hussein
Miongoni mwa wachezaji wachache wenye consistency nzuri ndani ya timu tatizo lake kubwa cross na mipira yake ya mwisho hukosa maono mara nyingi 6/10
4.Che Malone Fondoh
Perfomance nzuri
kati ya sifa nzuri kwake ni wepesi wa kurecover kwenye position na kutrack mpinzani pia ni mzuri kwenye mipira ya juu na leadership presence nzuri kwenye back line 7/10
5.Abdul Hamza
Perfomance nzuri
utapenda anavyojitahidi kufanya mambo ya msingi na kwa urahisi kwenye majukumu yake hataki ku over Do, win the ball release the ball precisely thats it 7/10
6. Augustino Okejepha
Pengine huyu si typical defensive midfielder wala sio holding ana traits za CM so ukimpanga kama namba 6 inabidi juu yake uwe na namba 8 ambae ana uwezo mzuri wa kulinda(kama Muzamiru), utaelewa kwann Ngoma aliingizwa ni kwa sababu kocha alihitaji holding midfield mwenye awareness ya eneo la ulinzi ,ila ni mchezaji mzuri 5/10
7. Joshua Mutale
Perfomance ya wastan
ni mzuri katika combinatiom play pale timu inapocheza karibu karibu na zaidi ana impact nzuri akiwa ana invert kama namba 10 pia ni mzuri sana kwenye off the ball movements, tatizo si decision maker mzuri akiwa na mpira 5/10
8 Debora Fernandez
Pure CM mzuri akiwa na bila mpira pia anaenyoy kucheza kwa karibu karibu nadhan ana tatizo la kuishiwa pumzi mapema may be huenda anaathiriwa na timu kukosa kiungo mzuri namba 10 wa kuhold timu(namba 10 ndo mtu anaewahold 6 na 8) 6/10
9 Lionel Ateba
hakuwa na mchezo mzuri sana muda mwingi alikuwa isolated hakuwa na huduma nzuri toka pembeni ya uwanja pia idadi ndogo ya wachezaji wa Simba wenye tabia za kushambulia box inachangia kumuathiri. 5/10
10 Jean Ahoua
Tuelewane kitu hapa moja ya nafasi ngumu kupata mtu sahihi ni namba 10 na ndo maana makocha wanaimprovise kupitia mifumo na majukumu ya wachezaji kufidia hilo huyu ni mchezaji mzuri kwenye turn overs na counter attacks coz ana quick scanning na decisions , ila hana aggresiveness ya kulazimisha matukio na kutake solo initiative(hususani ukicheza na timu zinazolinda muda mwingi utahitaji watu wa namna hii mfano Sakho,Onana,Chama,Pacome)
Haikuwa siku nzuri kwake 5/10
11 Kibu Denis
Perfomance mbaya kwake
kuna Kibu wawili yule anaecheza game kubwa na yule anaecheza dhidi ya mid table teams ni kama anachagua mechi za kujituma
4/10.
Subs; Ngoma 6/10 , Balua 4/10 , Mukwala 3/10,Awesu 4/10
N;B huu ni mtazamo wangu binafsi ruksa kutoa povu ,kukosoa na kuchangia chochote football is subjective.