Mngoni asiyepiga gambe
Senior Member
- May 4, 2017
- 151
- 318
Huu ni mtazamo wangu binafsi wa kile walichokifanya wachezaji wa Simba kwenye mechi ya derby
1. Mussa Camara
kosa lingine kubwa kwa golikipa tegemeo kwa mpira ambao angeweza kuupangua nje kwa hakika simba inahitaji kufikiria tena maamuzi ya kutaka kumuacha Lakred 3/10
2. Kapombe
nidhamu nzuri ya ulinzi na maamuzi mengi mazuri uwanjani 6/10
3. Zimbwe jr
kiwango cha wastani kidogo awazadie yanga goli kwa pasi hafifu ya ndani 4/10
4. Che fondo Malone
mchezaji bora zaidi kwa upande wa simba utulivu ,maamuzi mengi mazuri na interception bora 7/10
5. Hamza
kiwango cha wastan toka kwake kdg asababishe faulo ya kadi nyekundu kwa faulo dhidi ya dube
5/10
6. Kagoma
nidhamu nzuri ya ulinzi na uwezo wa kukaa kwenye njia za hatari na kiwango kizuri kwake hapana shaka simba iliathirika na pengo lake 6/10
7. Mutale
kiwango kizuri kwake hususan kipindi cha kwanza aliinvert na kumkosesha Aucho uhuru kwenye eneo lake,work rate kubwa sana ni faida timu inapokuwa haina mpira 5/10
8.Debora
kiwango kizuri hasa kipindi cha kwanza japo kuna namna aliathirika kwa kumkosa Kagoma na alionekana akirudi chini zaidi 6/10
9 Ateba
kiwango cha wastan ,alipaswa kuamua mchezo mapema 5/10
10 Ahoua
mchezo wa wastan kwake pamoja na kukosa spid ila ana ubora wa kusoma spaces na ku exploit japo si mzuri ku ambush zone ya mwisho kama namba 10 wengi 5/10
11 Kibu
Kiwango cha wastan uwanjan bado tatizo la maamuzi kuna nyakati linamsumbua ila alikuwa na nyakati kadhaa nzuri 5/10
Subs:
Balua
kiwango kibovu tatizo la maamuzi kwa wakati sahihi ni kubwa kwake,hakika si mchezaji wa kutegemewa 3/10
Kijiri
huenda ni moja ya sajiri mbovu sana msimu huu poor poor 2/10
Okejepha
anakosa utulivu na authority katikati ya uwanja si mkabaji mzuri sana hana awareness za kiulinzi 4/10
Karaboue
kiwango cha wastan hakuwa na baya 5/10
Overall remarks
Simba walikuwa na mechi bora mpango mzuri wa kitimu kujilinda ila kuna namna kukosa quality na uzoefu kwa wachezaji wa akiba kumeigharimu timu ila progress ni nzuri