Hongereni Simba kwa uwekezaji wa kimkakati. Kwa kufika nusu fainal Simba Queens wameingizia Simba $ 200, 000 ambazo ni karibu na zawadi ya NBC premier league champion. Wakifika final watapata $150, 000 na bingwa anachukua $400, 000.View attachment 2407974
Simba Wanawake wapo vile wale wanaume hapana tuongee ukweli..wale wa kiume zaidi wanategemea figisu na mpira wa midomoni,na kuzitafuta red card na penati ndio wapate ushindi!Hongera sana wanyama wakali Jike na Dume! Hakuna kama nyinyi Africa Mashariki na Kati!
Unawazimu ww. Mara ngap simba katinga group stage Africa? Kwa penalty zp? Nyie timu tenu since 1998. Aibu WASHENZI SNSimba Wanawake wapo vile wale wanaume hapana tuongee ukweli..wale wa kiume zaidi wanategemea figisu na mpira wa midomoni,na kuzitafuta red card na penati ndio wapate ushindi!
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Wala mihogo queens inapasa waige mfano huu
Ni kama 460m
Yanga princess wachimba mihogoYanga queens kazi yao kuchimba mihogo kwa ajili ya akina Mayele
Enjoy soccer tu chief,mambo mengine waachie wenyewe ...kama vile unavyoshabikia Manchester,Chelsea, Barcelona nkhela zote mnazopata huwa mnapeleka wapi, simba haina asset jiulize leo kesho mo akiondoka simba inabaki na nini? mabasi yote yale mnakodisha africarriers
Safi sana SIMBA QUEENS[emoji7]Hongereni Simba kwa uwekezaji wa kimkakati. Kwa kufika nusu fainal Simba Queens wameingizia Simba $ 200, 000 ambazo ni karibu na zawadi ya NBC premier league champion. Wakifika final watapata $150, 000 na bingwa anachukua $400, 000.View attachment 2407974
Hivi unadhani kuendesha timu ni kitu rahisi eeeh? Unadhani hapo wamefikaje? Ndio matumizi yake..watu wameweka hela wakafanya usajili mzuri na leo umewalipa..Usione hizi pesa ukadhani ni nyingi..kuna gharama sana kuendesha hizi timu...hela zote mnazopata huwa mnapeleka wapi, simba haina asset jiulize leo kesho mo akiondoka simba inabaki na nini? mabasi yote yale mnakodisha africarriers
Ambayo ndo yanga wanapata kutoka Azam wakishinda NBC 🤣Ni kama 460m
Mabadiliko makubwa ya soka nchi hii yana mkono wa bakhresa kupitia azamtv na mo kupitia simba.Kuna watu wakiambiwa MO kaisaidia Simba sana wanakataa. Ila haya mafanikio kwa asilimia 100 ni mkono wa MO.
Sisi twaangalia leo na kudai Simba ina thamani zaidi, ila hatuangalii 2016 ambapo hali ilikuwa mbaya au 2013 ambapo tulikuwa wa ajabu ajabu.
Jamaa anaangalia faida tu, anasahau wanalipwa mishahara,chakula,usafiri..hako kahela ni nothing kiuendeshaji wa timu.Hivi unadhani kuendesha timu ni kitu rahisi eeeh? Unadhani hapo wamefikaje? Ndio matumizi yake..watu wameweka hela wakafanya usajili mzuri na leo umewalipa..Usione hizi pesa ukadhani ni nyingi..kuna gharama sana kuendesha hizi timu...
Pia,hela zote mnazopata huwa mnapeleka wapi, simba haina asset jiulize leo kesho mo akiondoka simba inabaki na nini? mabasi yote yale mnakodisha africarriers