OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Tumsamehe Kocha Edna. Kipigo kimemchanganya mpaka anaropoka vihojaπππView attachment 2073867
Akihojiwa na Azam Tv kocha wa Yanga Edna Lema amesema sababu ya kufungwa ni uwepo wa makocha wa kiume kwa Simba Queens.
Ikumbukwe kuwa kocha msaidizi wa Yanga ni Mohamed Hussein Mmachinga. Sijui huyu ni mwanamke?
Hizi timu nilijuaga pengine tatizo ni bench la ufundi la yanga kwa wanaume kumbe hata mademu nao wana tatizo hilo hiloKOCHA WA SIMBA QUEEN: Mchezo ulikuwa mzuri, Yanga princess ni timu kubwa nilijua tu watakuja kutaka kulipiza kisasi, tumewaheshimu, tumewafunga.
KOCHA WA YANGA PRINCESS: Aaah tumefungwa kwa sababu hakuna uwiano, SIMBA kwenye benchi kuna mwanaume.
Umemsikia?Dah huyo kocha wa yanga n kiaz Sana Sasa hayo ndio maneno gani
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Umemsikia?
Sidhani kama anaweza kuongea hivyo maana ni kuhatarisha kibarua chake.
Nimemsikia kwa sikio langu...ila pale HAKUNA KOCHAUmemsikia?
Sidhani kama anaweza kuongea hivyo maana ni kuhatarisha kibarua chake.
watu wanaangalia makombe na historia ye anawaza uanamke,what a poor mentality? kwahiyo mwanamke akishindwa kimbinu na mwanaume lazima kisingizio ni kuwa mwenzake ni mwanaume,halafu mnataka haki sawa?View attachment 2073917
kwa hiyo kama wewe hujamsikia ndio inakuwa hajaongea? ameongea mbele ya Azam Tv na hapo anajitetea